Apta Kayla
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 324
- 73
Ni kweli, wabunge wa CCM hawana tofauti na Ze Comedy, hivi hyo 1BN ambayo Jairo aliiomba kwa ajili ya kuhonga, thamani yake inafanana au kuzidi msamaha wa kodi ya miaka 10 kwa wawekezaji? Hoja ambayo pamoja na kupewa effects zake kwa uchungu sana na Mh Mnyika na Mh Lissu walidharau na kupitisha kwa NDIYOOOO kubwa kifungu hicho cha Finance Act ya 2011/2012?