;Hapana shaka lolote juu ya kuhusika kwa waziri na naibu wake ila kasoro ya Katibu ni kwamba yeye ndie kakutwa na ngozi. Falsafa ya ccm ni iba, chunga, KUKAMATWA. Jinai hapo ni kukamatwa na wala sio kuiba..Huu niuonezi wa wazi! Sikubaliani kabisa na uamuzi wa serikali....hivi Jairo alichokuwa anafanya sikilikuwa na baraka za waziri na naibu waziri wake? Iweje rungu limwangukie yeye? I hate Tanzania.
Wakifanya hivyo timbwili lake si kidogo. Nahisi ajira mpya za ma PS zitatengenezwa. "Kama ilivyo kawaida" hahahaha hakuna aliye salama hapo
Kwanini asifukuzwe kabisa na uchunguzi ufanyike ikiwa ni pamoja na kumfikisha mahakamani baaqda ya uchunguzi..Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.
Mhasham , mbona unakuwa mkali?Huu niuonezi wa wazi! Sikubaliani kabisa na uamuzi wa serikali....hivi Jairo alichokuwa anafanya sikilikuwa na baraka za waziri na naibu waziri wake? Iweje rungu limwangukie yeye? I hate Tanzania.
be blessed jamaa anaonewahuu niuonezi wa wazi! Sikubaliani kabisa na uamuzi wa serikali....hivi jairo alichokuwa anafanya sikilikuwa na baraka za waziri na naibu waziri wake? Iweje rungu limwangukie yeye? I hate tanzania.
mi sidhani kama kumsimamisha Jairo ni suluhu kwanini Ngeleja asiwajibike kwa collective responsibility. NiBreaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.
Mazee Tatizo sio Jairo. Brotha kaka HAFAI KABISAJairo pumbav sana,asileta masihara ktk maisha ya watu,,
Hivi ina maana Waziri mkuu hana mamlaka ya kumsimisha a civil servant' kama katibu mkuu hata kwa muda kupitisha uchunguzi mpaka Rais afanye hivyo mwenyewe? Na kwa issue hii ambayo Rais alikuwa nje ya nchi, kiongozi anayekaimu ni ceremenial au? Kwa nini Rais baada ya kupigiwa simu asiseme yafinyike yaliyofanyika leo? strange!
anayempa kibu ni kilazi kikweteAtataja huyo anayempa kiburi.