Jairo asimamishwa kazi

Jairo asimamishwa kazi

Status
Not open for further replies.
Usijali mkuu ni uchunguzi tu....tuhuma zitakujaonekana si za kweli...mbona unasahau haraka hivyo hii ni TZ
....................Huu ndio uhhalisi wa hili jambo Mkuu. Baada ya muda kupita na watz tumeshasahau litaibuliwa jambo la kuzugia ili tupay attension then matokeo ya uchunguzi yatakua hapakupatikana ushahidi wa kutosha. Then DJ atatuwakilisha watz kwenye nchi nyingine kama nyie mmemchoka hapa Bongo!
 
Hivi ni uchunguzi gani au ni ushahidi gani unaotakiwa kufanyika na huku ushahidi ulishatolewa pale bungeni na muheshimiwa Shelukindo?
 
Breaking news,hivi punde Katibu wa wizara ya nishati na madini Bwana,David Jairo amesimamishwa kazi,taarifa hiyo imetolewa na katibu mkuu kiongozi philemon Luhanjo ,amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.source ITV breaking news.

Ni Serikali ya mataahira tu ndio inaweza kufanya uamuzi wa kipumbavu kama huu. Huyu inabidi kufukuzwa kazi haraka sana na pia kupandishwa kizimbani kwa kutumia pesa za walipa kodi ili kutoa rushwa kwa Wabunge kuhakikisha bajeti ya Nishati inapitishwa.

Hapo tumeimbishwa chorus na JK & MKP Jazz.Maana mwanzoni tukaambiwa ningekuwa nina mamlaka naye ningeishachukua maamuzi; mara nimepewa maagizo mapya; mara sijui kama kajiuzulu, na sasa ...

JK & MKP.jpg
 
Tanzania tanzania... nakupenda kwa moyo wote!!
 
Nimeongea na mtu akiwa Dodomana ku-comfirm juu ya Bwana Jairo kusimamishwa kazi.Lakini taarifa ni-conflicting kwani wakati wengine wakisema amesimamishwa ili kupisha uchunguzi utakafanyika ndani ya siku kumi baadhi wanasema amepewa likizo yenye malipo akisubiri uchunguzi
 
sasa Luhanjo na Ngeleja wapi na wapi? Huelewi tu kuwa Ngeleja sio saizi ya Luhanjo wala Pinda wala Ustaadh Bilal? Msubirini Mkwer.e arudi tu
inavyoonekana ata ****** akiludi hawez kumfanya chochote huyu ngeleja, dawa yao ni mass-action kama jilani zetu... Mpaka tuingie mtaani ndo watajua tumewachoka
 
Nimeongea na mtu akiwa Dodomana ku-comfirm juu ya Bwana Jairo kusimamishwa kazi.Lakini taarifa ni-conflicting kwani wakati wengine wakisema amesimamishwa ili kupisha uchunguzi utakafanyika ndani ya siku kumi baadhi wanasema amepewa likizo yenye malipo akisubiri uchunguzi
Hapo hata mimi sijaelewa,wanasema mara kasimamishwa mara likizo!duh nyekundu ni nyekundu tu huwezi kuiita kijani.
 
ah.!! Tbc wanasema eti amepewa likizo ya malipo mpaka uchunguzi uishe... Kweli inaitaji moyo kuishi tanzania
 
Hapo tumeimbishwa chorus na JK & MKP Jazz.Maana mwanzoni tukaambiwa ningekuwa nina mamlaka naye ningeishachukua maamuzi; mara nimepewa maagizo mapya; mara sijui kama kajiuzulu, na sasa ...

View attachment 34200

Ni usanii mtupu ndugu yangu unaofanywa na hii Serikali iliyojaa Mataahira katika kulinda maslahi yao binafsi badala ya Watanzania ambao tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza. Kila siku iendayo kwa Mungu madudu na uozo kibao!!!! 🙁 🙁 🙁
 
Hivi ni uchunguzi gani au ni ushahidi gani unaotakiwa kufanyika na huku ushahidi ulishatolewa pale bungeni na muheshimiwa Shelukindo?

Mkuu ushahidi wa kitu gani, au kwenye ile barua kulikuwa na kitu gani cha ajabu ili kitumike kama ushahidi, ni mbunge gani aliyepewa rushwa...kama kuna mbunge aliyepewa rushwa ajitokeze.
 
Ok, then what? Kwanini asisimamishwe kazi pamoja na kushitakiwa kwa kitendo cha kutumia mamilioni ya shilingi kwa ajili ya kuhongea? Hivi hiyo bilioni moja ingefanya mangapi ya kusaidia kuokoa tatizo la mgao wa umeme? Tunataka Jairo ashitakiwe na akiwa mahakamani atutajie wabunge waliochukua huo mlungula ili waturudishie tufanyie mambo mengine ya maendeleo kwa taifa.
bilioni moja ni cost ya mafuta IPTL kwa nusu ciku
 
Jamani! Jamani! Eti Luhanjo anasema Jairo amepewa likizo tena yenye malipo kupisha uchunguzi Tobaaaa!
 
Wachunguze 'upitishaji' wa budget kwa wizara zote sio hii ya Nishati na Jairo peke yake.
Barua yake Jairo ya mchango imetumia maneno "kama ilivyo kawaida" what kawaida?

I second you FJM.
Wizara zote zipitiwe.
Huyu kategwa tu. I will be danmed if wizara zingine hazikufanya the same.
 
Ni usanii mtupu ndugu yangu unaofanywa na hii Serikali iliyojaa Mataahira katika kulinda maslahi yao binafsi badala ya Watanzania ambao tumewapa dhamana kubwa ya kutuongoza. Kila siku iendayo kwa Mungu madudu na uozo kibao!!!! 🙁 🙁 🙁

Kweli hapa kuna mapungufu makubwa, na baada ya bunge na serikali kuona kuwa walikosea, baada ya kumuomba msamaha kwa tuhuma sizizo na msingi sasa wameamua kupoteza maana kwa kumsimamisha, inabidi awapeleke mahakamani.

Je ni mbunge gani mwenye ushahidi wa kupewa rushwa ajitokeze na auwasilishe takukuru,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom