Kwani tunauhakika gani ni yakwake?
Ikigundulika shelukindo amelidanganya bunge kwa barua feki,,achukuliwe hatua gani?
Mkuu bado tu hujapata za nyongeza?
Kama amejiuzulu hiyo ni haki yake kabisa na kama hajajiuzulu inabidi afukuzwe yeye pamoja na Waziri na Naibu Waziri wake. Mimi sioni kwa hili Mgeleja na Malima wataponea wapi? Shelukindo kawakamata chini ya mkanda!! Itakuwa ni miuzjiza Ngeleja na Malima wakipona.
1. Signature yake.
2. Tangu sakata hili lilipoanza yeye Jairo hajawahi kukanusha, labda kama wewe ndo umeanza mchakato wa kumkanushia.
Unataka uhakika gani tena mkuu?
Au na wewe unataka kuwa kama Hosea DPP kuwa wanashindwa kuwashtaki vigogo watuhumiwa wa ufisadi kwa kuwa ushahidi hautoshi, hata kuwachunguza tu wanahitaji ushahid. Tena wanasema wananchi wenye ushahidi wawapelekee kana kwamba hiyo ni kazi ya wananchi na si kazi yao.
Duh kwahiyo huu upupu ulishapita kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini???. (Bila shaka hapo Mlungula ulitipita)
Pia hapa ninaona kuna serious case of fraud.., na hii (GST) inabidi ichunguzwe tuone ni maovu mangapi huwa yanapita huko kwa mwanvuli wa Survey..
Hivi Waziri Mkuu ni nani na Pinda nani?juzi waziri mkuu ameongea na pinda ..
waziri mkuu katuambia amepata maagizo mapya uchunguzi unaendelea anaondokaje wakati wa uchunguzi asielete ujinga
kaogeeeeeeeeeeeehhhhhhhh!!!!
Tushaiona au umeisha iona???? wewe na nani? usisemee wengine tafadhalinilidhani barua ya kujiuzulu kumbe hiii? Tushaiona!
Hivi Waziri Mkuu ni nani na Pinda nani?