Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Status
Not open for further replies.
Kujiuhudhulu kwangu mi hapatoshi kbs! Angetakiwa na kundi lake lote waachie ngazi mara moja. Na mashtaka iwahusu.
 
Jairo anadai, amechoshwa na Siasa za majitaka. Wabunge wanamuonea wivu wa maendeleo.
 
You could be right!
BUT
If we seriously want the BIG fish this is also the way to get the BIG fish and address the SYSTEMIC issues- It all depends on what is our DHAMIRA to punish the few(who are indeed guilt) and stop there or to also use this TIP of an ICEBERG to get to the ICEBERG and deal with it?
 
Wakuu hii hapa barua iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini ikizitaka taasisi zilizo chini yake kuchanga sh. milioni 50 kila moja kwa ajili ya "kufanikisha bajeti ya wizara hiyo ipite".

Barua ya Jairo.JPG
 
Jairo anadai, amechoshwa na Siasa za majitaka. Wabunge wanamuonea wivu wa maendeleo.

Huyu kakosa la kusema kwa sababu kabambwa live bila chenga ndo maana anajidai eti siasa za majitaka yeye za majisafi yake zikwapi??? maendeleo gani anayojivunia ya kuibia Serikali na kuendeleza rushwa???
 
Bora kajiuzuru sasa TAKUKURU wafanye kazi yao.
 
By the way who gives those folks roles? HE/SHE must be evil too because why should you choose corrupted and evil folks to take seats. Mind you evil will give birth evil, ever no sweet tree to give bitter fruit taste!

Aluta Continue!
 
I am shocked kama Ngeleja bado yuko na ile wizara
 
  • Thanks
Reactions: LAT
kama ilivyotokea kwa balali mtu anajiuzulu ndio Boss anatangaza kumfukua Na wa hii ya Jairo na wenzake ndo itakuwa hivyo hivyo.


  • Ari mpya, nguvu mpya kasi mpya .
  • Speed and standard
In CCM terms hii misemo hapo juu ina maana tofauti.

Hivi watu wa CCM hawajashtuka tuko kwenye upepo tofauti. Hakuna wakati mbaya wa kuwa mwanasiasa kama sasa . Hasa kwa wale waliozoea kufanya kazi kwa mazoea. Ngeleja and or malima au both wanasurbiri nini? Kuhamishwa wizara?
 
hamana mpya hapa nilikuwa na Mtetea Ngeleja kuwa anaonewa kwa hili naye awajibike kwani huyu alikuwa anatafuta mbinu za kumnusuru waziri wake, pia kumbe wizara zote has ngumu ndio mchezo wao hawa makatibu wakuu
 
Mbona barua haisemi hiyo hela ni kwa ajili ya kuhongea wabunge? naona tu hapo anaeleza kwamba maafisa wa wizara watakuwa Dodoma kwa ajili ya kutoa ufafanuzi. Labda hiyo hela ilikuwa ni kwaajili ya hao maafisa wa wizara?
Halafu cha pili anasema kama ilivyo kawaida. So ina maana hili ni jambo ambalo huwa linafanyika kila mwaka!! So why do we blame him. Nafikiri ndiyo maana hata Kikwete ameshindwa kutoa maamuzi katika hilo. The only solution here, wabunge wa upinzani waibue move ya kutokuwa na imani na serikali. Maana kwa barua hii, ni dhahiri kwamba serikali nzima ndiyo ipo hivyo. Ipigwe kura ya kutokuwa na imani na serikali iliyopo madarakani full stop!!
 
Kumbe ziko mbili ?moja ipo ya kiingereza ndio ilioanza kutoka au ndio wanaanza kuchakachua kupotezea maana halisi waje waseme fake?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom