Jairo ajiuzulu wadhifa wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jul 20, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio wa mwanzo kufanya makosa na sio pia tanzania mpya.
  Dk Hosea alisakamwa ndani ya bunge hadi kwa vyombo vya haabari na kushindikizwa kujiuzulu. lkn bado anadunda ndani ya ofisi ya umma.Tunamuacha astaafu kwa heshima.

  mwanasheria mkuu wa sereakali aliestaafu kwa heshima.aliependekezwa aaachishwe kazi lkn amestaafu kwa heshima
  mkuu wa polisi Omar mahita juu ya tuhuma mbali mbali amestaafu kwa heshima.

  tumwacheni nae JAIRO astaafu kwa heshima kama tulivyozoea kwa viongozi wengine waliostaafu kwa heshima kwa makosa waliofanya.
  kumshindikiza jairo aadhibiwe hatumtendei haki
   
 2. Mazee

  Mazee Senior Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Firstly i think it is not wise to judge the deputy secretary of the ministry of energy and mineral resources
  as the sole cause of the shit the country is in currently in terms of electricity shortage

  what i see these guys in the gov. Now what they have just did is look for a scape goat to cover their evils
  to the tanzanians trying to shift the issues/dialogues from electricity shortage to corruption scandals
  what i urge my fellow tanzanians is to continue pushing that what we need now is power

  therefore to force these guys jairo, ngeleja and others to resign is just a very tiny part of the problem what we need the most is power and nothing else
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hatumuachi ni lazima tufe naye mkuu tunataka ile bilioni moja tugawane
   
 4. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Habari kutoka Dodoma zinaarifu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini amejiuzuru Rasmi wadhifa huo

  More to follow

   
 5. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  na baraza nzima la mawaziri na manaibu waziri pamoja na makatibu wazira wote wajiuzulu mara moja......maana wana copy na ku paste...ndio maana uchumi wetu unapolomoka kwa kasi....kikwete...ngoma zito waingize zito na mbowe na silaa ndani ya serikali yako....maana wote ni watanzania tena wazalendo na wanaweza kutumikia nchi....
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,932
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Amesema ni kwa nini anajiuzulu? Yawezekana ni bangusilo na 'wakuu' wanataka kufunika kombe! Hii habari ya kulobby (kuhonga!) ili bajeti zipite imeanza kusikika muda mrefu tu.
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Jamani kama kuna mtu wa karibu na huyu Jairo amshauri amwage 'mchele' wote hadharani au aandike kitabu namna 'bajeti za serikali zinavyopitishwa'. Akifanya hivyo anaweza kabisa akawa ame-shape politics za hii nchi na kazi za bunge kama msimamizi/mwakilishi wa wananchi. Jairo aandika yote kwa manufaa ya umma.
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Source plz
   
 9. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Source mkuu
   
 10. k

  kibajaj Senior Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kijiuzulu hakutoshi ashtakiwe ndo cha msingi
   
 11. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Source muhimi. Isijekuwa uzushi.
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Namhurumia sana tena sana,,,,,,,,wahusika wanajulikana JAILO ni BANGUSILO,VILONGOLA WAPO,TAZAMA KATUN YA KIPANYA YA LEO
   
 13. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  At the scene now
   
 14. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Anastahili pongeza kwa kufahamu nini maana ya kuwajibika. Waziri na Naibu Waziri aliyewasilisha bajeti isiyoondoa tatizo watapewa nafasi ya kwenda kusimama mbele ya Bunge na kusoma bajeti ingine? Watafakari na kuchukua uamuzi unaofaa
   
 15. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hii ina tofauti na hii hoax ya jana? Deleted: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/156406-jairo-kajiuzulu.html
   
 16. m

  mndeme JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  source mkuu
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kujiuzulu peke yake hakutoshi, mpaka siku Takukuru watakapomfungulia mashitaka hapa labda ndio Justice itakuwa imefanyika
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Ngeleja na malima nao pia wajiuzulu...kwani wao ndo walio mpa baraka za kuomba rushwa..NGELEJA na MALIMA WAJIUZULU PIA!!!
   
 19. M

  Madoido Senior Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa bora kafanya hivyo lakini sisi wananchi tunataka baraza lote lijiuzuru manaake they are insignificant and unworthy to manage[/b]
   
 20. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hizi habari zithibitishwe bana, itakuwa aibu kama ni uzushi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...