Jah man never die

Hawa kwel hawaf hata kama wakifa hawaozi teh teh teh.
 
Yaani we bwana mdogo sijui una umri gani yaani kila kukicha ni ujinga ujinga tu

Kwani mkuu kinachokukera hasa ni nini....
Ndio maana humu ndani kuna majukwaa mengi sana....kama wewe ni mjanja mbona kuna majukwaa mengi tu ya kijanja....
Tuache sisi kwenye ujinga wetu mkuu..ndio maana tumejichimbia huku ujingani.....
Nakuona kama upo kishari zaidi....
 
KikulachoChako twende naye mdogomdogo tu atanyooka tuuu....!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwelii mkuu.....lakini naamini akitoka mwezini akili zitamrudia
Wadada wengi wakiwa mwezini ndio huwa hivi....kwa hiyo tumvumilie tu...

Huyu tabia ya kujipendekezapendekeza na kujishebedua hajaanza leo ndio maana anaitwa/ anajiita mzushi. ...anajifahamu alivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…