adam junior93
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 205
- 252
Kwa sababu kahamia ofisi ya mabati au........?!!!Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Kwenu wasomaji...

Kwa sababu kahamia ofisi ya mabati au........?!!!
mshaanza tena uchuro, hamna shughuli za kufanya? mimi siamini kama ni sahihi kuongelea urithi baba yuko hai physically fit na push ups juu!!kwanini msisubiri 2025 mkitoboa?
Wewe ukipewa bilioni Moja utashindwa kujenga ghorofa kama lile?!!Hapana Kingozi,
Kwasababu katumia Tzs 1billion kwa usahihi na bila ubadhirifu kujenga jengo murua na bora miongoni mwa majengo yote ya wizara za JMT....
Amini Jafo ni m2 sahihi sana kwa Uraisi wa JMT.
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Bado anapwaya sana! To me it is a big NO!Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Unamtilia kitumbua chake mchanga ujue...Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Ameweza kuwamudu wake hao wanne hawezi kushindwa wananchi m 45,Akawe raisi wa hao wake zake wanne
Kiaje mkuuu....?Unamtilia kitumbua chake mchanga ujue...
Kabisa yaaniAnafaa kumrithi magufuli huyo bwana mdogo
Dadavua....Bado anapwaya sana! To me it is a big NO!