Uchaguzi 2020 Jafo anatufaa Urais-2020-ama baada ya Magufuli -2025

adam junior93

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
205
252
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
 
Kwa sababu kahamia ofisi ya mabati au........?!!!
 
Huwa wanabadilika wakishalewa,labda kwa sababu ni muislam elimu ya dini itakuwa inamsaidia kuepuka ulevi,hivo kuto kuwatendea ukatili wengine
 
Hapana Kingozi,
Kwasababu katumia Tzs 1billion kwa usahihi na bila ubadhirifu kujenga jengo murua na bora miongoni mwa majengo yote ya wizara za JMT....
Amini Jafo ni m2 sahihi sana kwa Uraisi wa JMT.
Kwa sababu kahamia ofisi ya mabati au........?!!!
 
Eh mahaba haya sijawahi ona. Heri hata wew mwenye muda wa kufatilia hotuba za watu hao
 
mwanzo mgumu ila muda ukitaradadi utayaona mengi. kukubali kuhamia jengo la mabati tayari ameshashindwa kuwa Rais kwani hana msimamo, najiuliza OSHA wako wapi, hivi kama waziri hajali afya yake je wafanyakazi wa kawaida watatetewa na nani? suala la kucheleweshwa kwa jengo pengine kuna sababu za kiufundi ila kukubali kila order ni shida sana
 
Rejea katiba yetu ya 1977....
Pia soma Biblia inasema kifo ni lazima kwa muda wowote ule...
Nmechukulia as kifo ni inevitable na katiba ndo inaongoza state.
mshaanza tena uchuro, hamna shughuli za kufanya? mimi siamini kama ni sahihi kuongelea urithi baba yuko hai physically fit na push ups juu!!kwanini msisubiri 2025 mkitoboa?
 
Hapana Kingozi,
Kwasababu katumia Tzs 1billion kwa usahihi na bila ubadhirifu kujenga jengo murua na bora miongoni mwa majengo yote ya wizara za JMT....
Amini Jafo ni m2 sahihi sana kwa Uraisi wa JMT.
Wewe ukipewa bilioni Moja utashindwa kujenga ghorofa kama lile?!!
 
2025 tegemea hawa wawili.

Jafo
Majaliwa.
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
 
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Bado anapwaya sana! To me it is a big NO!
 
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Unamtilia kitumbua chake mchanga ujue...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom