Elections 2020 Jafo anatufaa Urais-2020-ama baada ya Magufuli -2025

adam junior93

Senior Member
Mar 14, 2015
151
250
Mkuu ujinga wangu ni upi hapo?
Nani kakwambia maana ya ndoa ni mashine pekeake?
Kama m2 kaweza kuwamudu wake wa4 anaoishi nao kila siku walahi hawezi shindwa kuwamudu watz m 45..
Labda kama naongea na bachelor!
Acha ujinga wewe kuwapiga mashine wote ucku mzima hawezi ni wananchi 50m kila mtu na akili yake zaidi ya mtutu wa bunduki hao wasee. ..

Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
9,773
2,000
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Ana weza ila hatuwezi kuwa na first lady 4.haaa
 
No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,898
2,000
Akawe raisi wa hao wake zake wanne
Itakuwa mara ya kwanza! Mtu uriIki na mke mmoja mpaka wananne tena bado kijana? Alafu wote uwapeleke ikulu? Duh! Mwinyi/Kikwete si ni waislam na walikuwa na uwezo wa wake 4 hawakufanya hivyo? Hilo la wake 4 alafu upewe nchi atasubiri saana!
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
11,642
2,000
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Kisarawe hakuna maji,barabara zote mbovu,mazingira hata ya kazi ni basi tu na ndio mbunge sasa awe raisi kwa lipi
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
2,007
2,000
Haka kajamaa sikapendii. Kanajipendekeza kiwango cha kujidhalilisha.
Jiwe akirogwa tu akapitishe atajamba cheche.

Katamgeuka kinyonga akasome.
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
21,948
2,000
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Wewe mtengenezee tu shoti unafikiri unampenda kumbe unamchongea,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
236
250
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Naona tz kiti cha urais mnakichukulia poa sana ile ni nafasi isiyotaka majaribu na ni kazi ngum jamani mbona mnaichukulia poa aya bwana ujumbe wako tumeuona na kuusoma mkuu
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
3,222
2,000
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga hoja zake,na pia anatenda majukumu yake kulingana na katiba ya nchi.
Ntasimama nawe Jafo.
#Jafo_4_@Presedency-2020
Rais wa awamu ijayo hawezi kutokana na genge la Serikali katili na kandamizi ya Awamu ya 5.
 
Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
2,043
2,000
Mchukue awe Rais wa Familia yako. Mnadhani tena urais utakuwa Rahis rahisi. Huo ujinga Jafo ishia nao huko huko sijui nani kakudanganya uje kutest zali huku.

Top Bottom