nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
KIKI YA KONKI ISHA EXPIRE KATOA VIDEO ANATETEA ULE WIMBO WA MAMBO YA KULAWITIANA UITWAO NYEGE NYEGEZI ULIOFUNGIWA,RAIA WAMEMUWAKIA VIBAYA SANAKonki master amjumuishe kwenye list ya tatu uyu dogo,
Ndo ivyo mkuu, BONGO tunaishi kwa matukioKIKI YA KONKI ISHA EXPIRE KATOA VIDEO ANATETEA ULE WIMBO WA MAMBO YA KULAWITIANA UITWAO NYEGE NYEGEZI ULIOFUNGIWA,RAIA WAMEMUWAKIA VIBAYA SANA
Hawa ni mh. Anasemaga wanajifanya wanajua kiingereza hahahKm waziri wako kaukubali wewe ni nani wa kupinga?
View attachment 931653
Hata mitandao na magazeti mengi ya huko huko yanamulaumu Will Smith na mkewe kwa jinsi walivyo walea hawa watoto. Inasemekana wamelelewa vibaya sana wote wawili. Huyu dogo alipoanza kuvaa nguo za kike baba yake alisema hapendi anavyovyaa hana shida na mashoga ila hatomruhusu afanye hayo akiwa anaishi kwake,MTOTO WA WILL SMITH ALIECHEZA MOVIES KAMA KARATE KID,PURSUIT OF HAPINESS....JANA KATIKATI YA SHOW KATHIBITISHA YUPO KWENYE MAHUSIANO YA KISHOGA NA RAPPER AITWAYE TYLER THE CREATOR
TUNASUBIRI NA KALE CHA KIKE WILLOW SMITH KANACHOSEMEKANA NI KA LESBIANS..OOOUWEEIII
yes jada alikuwa kwenye mahusiano ya kisagaji na kale kademu keupe cha kwenye sitcom ya MARTIN kaitwacho Tisha campbell dada yake na yule mwanamuziki shoga aliye hit miaka ile aitwaye Tevin Campbell na ndo chanzo cha Martin kumpiga Tisha ukawa mwisho wa vichekesho hivyo sbaabu Martin alikuwa anampenda sana huyo demu na walikuwa wapenzi kabla Jada hajaanza kumsaga,kuhusu will smith kuwa shoga wanasema hata mke wa kwanza wa jamaa alimkuta kitandani anapumuliwaIla kuna fununu hata baba na mama walikuwa ama wana practice mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja, naona watoto wamefuata nyayo tu tena kwa baraka za wazazi..
Will alimuacha yule baby mother wa kwanza na Jumuiya Jada sasa watoto aliyopata na Jada wote wana matatizo. Yule wa kwanza atamuokoa.
Mkuu yani unatafisiri maisha ya mtu kwa kutazama yaliyo kwenye movie ambayo anakuwa anaigiza script iliyoandikwa ika shootiwa? Huenda pia unaamini kuwa wale jamaa wa Matrix walikuwa wana uwezo wa kukwepa risasi kwelimi nlishakuwa na mashaka naye since way back tokea enzi za karate kid.Mule kuna scene anapaka make up na kwenda nayo shule kuficha majeraha aliyopata baada ya kudundwa na wenzie.
yule alimfuma Will anapumuliwa na njemba ,Will akazuga kwamba alikuwa in love na Jada,ukweli ni kwamba Jada ni msagaji,kesha date watu kama Tisha campbell, Queen latifah so Will kwa Jada anakuwa kama BEARD wanazuga tu thats why wanasema wapo kwenye open relationship,wale wote ma bisexuals tu
Hollywood kuna mambo ya ajabu sana, kupumuliwa kwa wanaume au usagaji kwa wanawake upande wangu siyo tatizo, tatizo ni kuutangaza na kuushabakia, kuupamba na kuonekana kama ni trendy/usasa kwa jinsia tofauti, tunalazimishwa ionekane ni sawa tu, badala ya kuwa aibu kwa familia, tunalazimishwa hata wakiooana ni poa tu, sasa hapo ndipo wengine tunapopinga kulishwa na kuonyeshwa huu uchafu, kuna tv series/movies nzuri sana mitandaoni, ila nikisha ona kuna huu uchafu huwa nakatisha na kutozishaibikia tena, sijuwi tunaenda wapi, nashukuru dola inalipinga hili swala kwa moyo mmoja..sawa hii tabia ilikuwepo kabla hatujazaliwa, ipo kwenye familia zetu, lakini tusilazimishwe kuikubali, waendelee na uchafu wao kisirisiri na siyo kwa uwazi kutuchefuwayes jada alikuwa kwenye mahusiano ya kisagaji na kale kademu keupe cha kwenye sitcom ya MARTIN kaitwacho Tisha campbell dada yake na yule mwanamuziki shoga aliye hit miaka ile aitwaye Tevin Campbell na ndo chanzo cha Martin kumpiga Tisha ukawa mwisho wa vichekesho hivyo sbaabu Martin alikuwa anampenda sana huyo demu na walikuwa wapenzi kabla Jada hajaanza kumsaga,kuhusu will smith kuwa shoga wanasema hata mke wa kwanza wa jamaa alimkuta kitandani anapumuliwa