Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
Ni kwenye hafla ya wasanii Dodoma
Msanii nguli wa filamu nchini muda huu katika hafla ya wasanii ya kumuaga Mwenyekiti Mstaafu Mh. Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kurejea CCM.
"Nilipotea kwenda kule, nimeamua kurudi nyumbani".
Karibu nyumbani uungane na wenye akili, maisha na maendeleo yapo huku, kule kuna chuki, fitina, uzandiki, majungu na kundi la majobless wenye roho mbaya.
Karibu nyumbani uonje raha ya utu.
