Jacob zuma is my hero..........

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Ahhh imebidi niseme hii.......

Wakati inafahamika kuwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja
tu its unnatural.....cha kushangaza suala la mwanamke kuwa na mke zaidi ya mmoja
nalo ni linachukuliwa kama crime......

Yaani watu wa nchi za western wamepandikiza mawazo kwetu wa africa tuone
kuwa sio ustaarabu kuoa mke zaidi ya mmoja lakini

tukubali kuwa mwanaume kuoa mwanaume mwenzake ni sahihi na ndo ustaarabu wenyewe

sasa mimi naona huyu jacob zuma anastahili pongezi kwa
kweli....

Tuache unafiki kwa kweli,kama mtu huwezi kutosheka na mmoja

bora uongeze mwingine na ujinafasi kwa uwazi bila woga.....

Na hapa jf naona bora tuanzishe club ya wale wote wanaosapoti polygamy....

Nafikiria kujiunga in the near future.....

And thats why jacob zuma is my hero
 
jacob-zuma.wives-bcn1.jpg
 
inabidi na wale tusiopenda polygamy tuwe na club yetu.tangu mwanzo mungu aliumba mwanaume na mwanamke hakuumba mwanaume na wanawake au vice versa.polygamy imeathiri nyumba nyingi kiuchumi,kisaikolojoa etc..na wanaoulipa price ni watoto!!asanteni.
 
huna mke,unafikiria polygamy?i put down as one of them bad days,umeamka vibaya i mean upweke umekuingia ndio unaona bora ungekuwa na wake wengi,aa sure usingefikiria haya kama ungekuwa na 'kampani' usiku wa kuamkia leo.
 
Ahhh imebidi niseme hii.......

Wakati inafahamika kuwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja
tu its unnatural.....cha kushangaza suala la mwanamke kuwa na mke zaidi ya mmoja
nalo ni linachukuliwa kama crime.....
.

Yaani watu wa nchi za western wamepandikiza mawazo kwetu wa africa tuone
kuwa sio ustaarabu kuoa mke zaidi ya mmoja lakini

tukubali kuwa mwanaume kuoa mwanaume mwenzake ni sahihi na ndo ustaarabu wenyewe

sasa mimi naona huyu jacob zuma anastahili pongezi kwa
kweli....

Tuache unafiki kwa kweli,kama mtu huwezi kutosheka na mmoja

bora uongeze mwingine na ujinafasi kwa uwazi bila woga.....

Na hapa jf naona bora tuanzishe club ya wale wote wanaosapoti polygamy....

Nafikiria kujiunga in the near future.....

And thats why jacob zuma is my hero

na msimamo wako kuhusu hili???
 
aa bossi hili suala litauwa hivi hivi tete mpaka mwisho wa dunia! wanawake watavutia upande wao na wanaume watavutia upande wao......wewe huoni hata wale wanawake ambao dini zao zimetoa ruhusa kwa polygamy bado wana sua sua kukubali jambo hili?

wewe amini, uwaache na wenzio wasiamini ............
 
The boss inaonekana tayari una mke mdogo. Na hapa unatafuta tu uhalalishaji. Hatujui mwenzetu ni wa dini gani, kama ni muislam basi hakuna shida kabisa, ila fuata ule utaratibu wa wawili, wanne... lakini kama ni mkristo hapo bwana hapatatosha na mchungaji wako. Lakini kwa kuwa umeshaamua kufanya maamuzi, wewe endelea tu, chochote tutakachokushauri sisi kinaweza kisisaidie sana kubali mawazo yako.
 
Kama hao wake wa Zuma wamekubali kuolewa naye basi mimi kwangu poa tu kwa sababu nadhani wamekubali hivyo kwa hiari yao wenyewe.

Lakini huyu Zuma naye si anamegewa hao wake zake? Kuna mmoja alimegwa na bodyguard na sasa ni mjamzito na haijulikani hiyo mimba ni ya nani....LMAO

Hii dunia hii ni bora kubakia mseja tu....umege na umegwe tani yako bila kuvunja moyo wa mtu
 
Kama una uwezo oa tu mkuu, vitumbua vyenyewe haviharibiki ushindwe wewe tu au kuvikinai...
 
Kwa jinsi laif lilivyo tait huyo mke mmoja mwenyewe naogopa sembuse hao sijui wawili watano, Labda baadae!
 
Well Zuma can be excused for middle-life crisis...wewe ndugu yangu wat will be your defense.
 
utamaliza bucha nyama ni ileile! kila siku wanawake wanazaliwa wazuri, utawamaliza mkuu?
 
utamaliza bucha nyama ni ileile! kila siku wanawake wanazaliwa wazuri, utawamaliza mkuu?

Hapana kuna nyama ya kuku, bata, ng'ombe, mbuzi, bata mzinga, mbuzi katoliki....ni tofauti ati.
 
Kwa hiyo Boss utakuwa na wake wangapi? tano, kumi, ishirini???????
 
Back
Top Bottom