Jacob zuma is my hero..........

God is Great

when you think about it. God has to be the best inventor of all time. He took a rib from Adam and made a loudspeaker
 
Ila hili la utamadunisho the Boss ako na point

kwa nini waone kuwa na mke zaidi ya mmoja SIO SAWA lakini kwa wanaume wawili kuwa "MUME NA MKE' ni sawa? Ni hayo tu
 
god is great

when you think about it. God has to be the best inventor of all time. He took a rib from adam and made a loudspeaker


ha ha haaa
sasa mimi wake watatu,
nitakuwa na loudspeaker tatu sio?
Ha ha haaaa....
 
I need to consult my heart first if it will be interested to share you with other hearts.......:tongue:

JS hii avatar ya sasa....kale kamkia kameenda wapi?
 
Kale kamkia kale bana kalizua mtafaruku kidogo ikabidi nikaeke pembeni. Ni avatar tu Roya kama ile ya katuni

Basi tu huu wimbo umenikaa kichwani leo.....

Tell me
is there any more room for me

In those jeans
Looking tasty really scrumptious
Tell me is there any more room for me
 
kwaiyo wewe u hero wako UMEJIKITA CHINI TU???
hauna sifa nyingine ya kutoboa uhero wako zaidi ya kumiliki wanawake 10?
may b ur against god n ur unnatural ma dia boy...........god ALIUMBA ADAM NA EVA akuumba adamu +eve,joic.halima na sandra.......
-ur temptation na matamanio basi yasifike kwenye kiwango cha kutaka kuhalalisha ....km waona wewe haifai kwa sababu zako za matamanio basi oa kumi ata 20 lakin kimya kimya na si kutaka publicty n supot as ur duin nw wanadamu kamili watakushanga ila mimi sikushangai hahahaha!!!!
-ni makuzi na malez+altittude yako ndo imekupelekea kwenye destin ya kusema polygam .......!
acha izo wewe tafuta mmoja ayo yote uzaniayo utayapata kwa wanawake 100 utayapata kwake as long as ukifanya chaguo jema.
suleiman alikuwa ana wanawake 1000 bt mwsho wa siku akasema mambo yote ni ubatili tu chn ya jua..akuna jipya akuna lolote ni ubadhilifu tu............
omba mungu akupe wako ambaye atakuwa full contained na wala hautakuwa na haja ya masuria wala small haus
pole.
 
Hii thread nimeipenda sana.

Sina cha kuchangia, ila nimeipenda sana kwa kweli. Nimeipenda sana.

Udumu Zuma, Udumu The Boss, Zidumu Mila zetu sahihi za Kiafrika.

Na hilo ndilo neno la MILA. Wote semeni IGWEEEEEEEEE!:hippie::hippie:
 
Ahhh imebidi niseme hii.......

Wakati inafahamika kuwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja
tu its unnatural.....cha kushangaza suala la mwanamke kuwa na mke zaidi ya mmoja
nalo ni linachukuliwa kama crime......

Yaani watu wa nchi za western wamepandikiza mawazo kwetu wa africa tuone
kuwa sio ustaarabu kuoa mke zaidi ya mmoja lakini

tukubali kuwa mwanaume kuoa mwanaume mwenzake ni sahihi na ndo ustaarabu wenyewe

sasa mimi naona huyu jacob zuma anastahili pongezi kwa
kweli....

Tuache unafiki kwa kweli,kama mtu huwezi kutosheka na mmoja

bora uongeze mwingine na ujinafasi kwa uwazi bila woga.....

Na hapa jf naona bora tuanzishe club ya wale wote wanaosapoti polygamy....

Nafikiria kujiunga in the near future.....

And thats why jacob zuma is my hero



The Following 3 Users Say Thank You to The Boss For This Useful Post:

Asprin (Today), Da Womanizer (Yesterday), Kiranja Mkuu (2nd August 2010)



Kuna watu humu jamvini bado hawajamtendea The Boss haki inayomsahili kwa hii yuzifuli sredi.

Hebu mtendeeni haki jamani jamani jamani!!
 
Back
Top Bottom