Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

Jack Cliff hatanyongwa wala kufungwa

Kwa uzoefu wangu mimi, kama adhabu inatoa range ya muda kama inavyosemwa hiyo ya Macau, Jaji au Hakimu anaweza kuangalia mambo kama; hiyo ni mara yako ya ngapi wewe kukamatwa kwa kosa hilo, kukiri kwako kutenda kosa na kuonyesha majuto ya kosa lako na kuomba msamaha, kutaja wahusika - waliokutuma na unaowapelekea, afya ya akili yako, na kadhalika.

Kwa hiyo, kama utapewa fursa ya kujitetea na kuwasilisha mitigating circumstances/ factors, unaweza kutaja mambo kama hayo kwa matumaini ya kwamba bwana au bibi jaji au hakimu atakuhurumia na hivyo kupunguza ukali wa adhabu dhidi yako.

Hivyo ndivyo nidhaniavyo mimi. But what do I know.....mi mbeba mabox tu.
EMT atanisahihisha kama nimekosea.

dunia ikikubaliana adhab za watu wanaodili na unga iwe kifo au maisha,,,nadhan itasaidia,,,,
 
Last edited by a moderator:
Macau alipokamatwa Jack Cliff hawana adhabu ya kifo ila kwa kuwa imethibitika atafungwa jela kwa muda wa miaka 60 AU faini (not mentioned) hivyo tutegemee Lady Boss kurudi mtaani..

Mwenye Mzgo kigogo mnoja aishie Ununio kaenda macau kutoa hiyo faini
 
anaeuwa na yeye auliwe.angebahatika kupitisha hilo sembe lake unadhani ni vijana wangapi wangeteketea na kuathirika?Bila shaka alikua anakwenda kuua kizazi cha ki-china sasa ngoja na wao wammalize,do tamaa mbele mauti nyuma.
 
utasikia katoa faini tu kaachiwa maana yule mrembo mtandao wake mkubwa mpaka yule mbunge aliwahi kumpa mzigo wake ampeleke sehemu
 
Anyongwe tu kwani Ye Nani kasababisha wangapi wameumia?
 
Wataalamu wa sheria na wajuzi wa mambo, hivi mchakato wa mashitaka na hukumu kwa huko Macau kwa uzoefu huchukua muda gani?! Kesi iliyowahi kuchukua muda mfupi sana na ile iliyochukua muda mrefu sana, hususan kwenye swala hili la madawa ya kulevya.
 
Kwa mujibu wa Redio mbao, hii ndio X-Ray ya tumbo la mtuhumiwa.

 
mie nauliza hivi, huyu Jack amewezaje kupita hapo JNIA na huo unga wake, Mwakyembe mie naona bado hajafanya lolote, mikwala tu ile, na alisema kuwa kila kitu kamkabidhi nchimbi na nchimbi hayupo tena je nani sasa atatoa ripoti ya unga ulipo na wapi kesi za sembe zimeishia, yani hii nchi du!!
 
Nifahamisheni jamani, huyu Jack ni yule super model aliyecheza video ya 'She got a gwan' ya marehemu Albert Mangwea?

Na sasa anacheza reality series ya usafirishaji wa nafaka aina ya "sembe marufuku" huko China baada ya kufanya vizuri kwenye she got a gwan ya Ngwair,Nataka kulewa ya Diamond na kuwa na jina zuri la lady Boss!!
 
utasikia katoa faini tu kaachiwa maana yule mrembo mtandao wake mkubwa mpaka yule mbunge aliwahi kumpa mzigo wake ampeleke sehemu

Funguka Mkuu,au unatumia laptop ya Mbunge na hujui kufuta history?!!! Refer slogan ya jf ingawa siku hizi imechakachuliwa!!
 
Madawa yana mkwanja mrefu kinoma tatizo ukishikwa tu ndio tatizo mmmh pesa bana........
 
ukitaka kumuona vizuri video ya kumingina somethng like that ya LINEX
 
Funguka Mkuu,au unatumia laptop ya Mbunge na hujui kufuta history?!!! Refer slogan ya jf ingawa siku hizi imechakachuliwa!!

Hahahah!
ilikuwa where we dare to speak openly..

Sa ivi imekuwaje mkuu? Au jepesi kaharibu?
 
Hahahah!
ilikuwa where we dare to speak openly..

Sa ivi imekuwaje mkuu? Au jepesi kaharibu?

Una utani na washauri wa Jepesi,me sitaki barn bwana kwa kukuunga mkono hoja kwani sina extra id ya kuvinjaria Nakupigia barn!!!
 
bila kunyongwa kwa hao vibinti nchi itazidi kuchafuka
wakinyongwa kama kumi hivi tena hadharani na vidoe zao tukaziona itakuwa somo kwa punda wengine
 
Back
Top Bottom