Then what?
tazama JKN akihutubia Bunge jipya ka South Africa 1997
Nyinyi ndo wale mnaoongozwa na wafu mpaka leo. Hizo hotuba zake zimekuza uchumi wa nchi hii au? Sh.nzy zenu
tazama JKN akihutubia Bunge jipya ka South Africa 1997
Mmmmmh! Uwepo wako wakufikiri ndio umeishia kutusi watu. Toa mchango km na mada hujapendezwa nao toa sababu sio kutusi watu sio lazma ukubali mawazo ya mwenzako.
Mpinge kwa hoja.Ishu hotoba inatoa mwongozo kwa watu hata km mtoa hotobu ametangulia hata wewe shuleni umesoma vitabu vya watu ambao wameshakufa kwanini hukuvikataa ukata vya waliohai?
wakati nakuwa nilikuwa najua negative ni zile transparent nylon abazo husafishwa na kuwa picha.Wewe ni miongoni mwa memba wachache wa JF ambao muda wote wapo Negative.
Kisha nin kifuatwe?
he was a great failure. lakin alisimamia anachoamini
wakati nakuwa nilikuwa najua negative ni zile transparent nylon abazo husafishwa na kuwa picha.
mkuu umekosea. tatizo ni mzee mchonga hakutupa elimu.Tatizo ulikulia kwenye kizazi cha wavuta bangi