habari wakuu
Mwenye link ya part 2 ya iyo movie anisaidie tafadhali nimeipenda sana
mkuu nenda JF STORE kuna uzi wa wapenz wa movies na series au tembelea hapa MEGASHARE.INFO - Watch Full Movies Online For Free
kwa ushauri wangu ni vema uwe unasoma soma thread humu sio siku ukiwa na shida unakuja directly kupost request
habari wakuu
Mwenye link ya part 2 ya iyo movie anisaidie tafadhali nimeipenda sana
hiyo part 2 inaitwa gi joe retaliation na starring mara hii naona atakua the rock, expected release date maybe ni march 2013 mpaka dvd ije itoke inaweza kua mwez wa 8 labda ukaiwah mliman city huo mwez wa 3
Usihofu kaka, pirates watatupatia CAMrec mapeema tu!
hizo hazina ladha quality ndogo.
habari wakuu
Mwenye link ya part 2 ya iyo movie anisaidie tafadhali nimeipenda sana
hiyo part 2 inaitwa gi joe retaliation na starring mara hii naona atakua the rock, expected release date maybe ni march 2013 mpaka dvd ije itoke inaweza kua mwez wa 8 labda ukaiwah mliman city huo mwez wa 3
..
Yap its true hii ni mpaka mwez wa 3 or wapili mwishon nakumbuka, dah hii ni 1 ya movies kubwa nnazo zisubiri kwa hamu ds year, DWAYNE aka The Rock ana2mwa na Government(ambayo raic ni the bad guy mzee wa miluzi kwenye Rise of Cobra) kuwasaka na ku wamaliza the Joes so i dont think he's 1 of the good guys CHIEF, hii movie ilikua iwe released mwaka jana around mwz wa 6 ila ikaonekana waliplot star yule kafa huku jamaa alikubalika sana ikaonekana wa2 hawataikubali na itakua na low sales so ikaahirishwa na ku2ngwa upya na kuigizwa upyaaa from mwez wa 6 2 mwez wa pili hio release so itakua ni big thing hii!!! Tech yao 2 ndo d best thng asee cant wait 4 it!