Mi nafikiri na we ni muuaji tu hakuna mjadala hapo ni kitanzi!Habarini ndugu zangu, nataka kujua iwapo umemfumania mkeo/ Mumeo
akifanya tendo la ndoa. Je iwapo umemuua muhusika iwe mkeo/mumeo au huyo
mgoni wako au wote kwa pamoja sheria inasemaje?
Itatokana na umemuua katika mazingira gani,endapo ulimuua on the spot baada tu ya kumfumania iyo mahakamani ita be considered kwamba ulikua na hasira so sio dhamira yako bali ni hali ya hasira,so unaweza kufikiriwa itatokana na kesi ipoje,but kama ulifanya kitendo hicho baada ya kufumania,basi wewe hutapona na utakua muuaji tu,Habarini ndugu zangu, nataka kujua iwapo umemfumania mkeo/ Mumeo
akifanya tendo la ndoa. Je iwapo umemuua muhusika iwe mkeo/mumeo au huyo
mgoni wako au wote kwa pamoja sheria inasemaje?
Itatokana na umemuua katika mazingira gani,endapo ulimuua on the spot baada tu ya kumfumania iyo mahakamani ita be considered kwamba ulikua na hasira so sio dhamira yako bali ni hali ya hasira,so unaweza kufikiriwa itatokana na kesi ipoje,but kama ulifanya kitendo hicho baada ya kufumania,basi wewe hutapona na utakua muuaji tu,

acha kuua, hata kujeruhi tu wakikuamulia kesi inalalia upande wako