Iwapo umemfumania mkeo au Mumeo!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,671
Habarini ndugu zangu, nataka kujua iwapo umemfumania mkeo/ Mumeo
akifanya tendo la ndoa. Je iwapo umemuua muhusika iwe mkeo/mumeo au huyo
mgoni wako au wote kwa pamoja sheria inasemaje?
 
Mi nafikiri na we ni muuaji tu hakuna mjadala hapo ni kitanzi!
 
Habarini ndugu zangu, nataka kujua iwapo umemfumania mkeo/ Mumeo
akifanya tendo la ndoa. Je iwapo umemuua muhusika iwe mkeo/mumeo au huyo
mgoni wako au wote kwa pamoja sheria inasemaje?
Itatokana na umemuua katika mazingira gani,endapo ulimuua on the spot baada tu ya kumfumania iyo mahakamani ita be considered kwamba ulikua na hasira so sio dhamira yako bali ni hali ya hasira,so unaweza kufikiriwa itatokana na kesi ipoje,but kama ulifanya kitendo hicho baada ya kufumania,basi wewe hutapona na utakua muuaji tu,
 
hebu muulize kama ana mpango wa kufumania karibuni

acha kuua, hata kujeruhi tu wakikuamulia kesi inalalia upande wako
 
Itatokana na umemuua katika mazingira gani,endapo ulimuua on the spot baada tu ya kumfumania iyo mahakamani ita be considered kwamba ulikua na hasira so sio dhamira yako bali ni hali ya hasira,so unaweza kufikiriwa itatokana na kesi ipoje,but kama ulifanya kitendo hicho baada ya kufumania,basi wewe hutapona na utakua muuaji tu,

Yup! Can be considered to be a crime of passion hence lessen the severity of the punishment.
 
Hakuna sababu ya kuua yeyote.
Mwenzio kaenda kupata ladha nyingine
OTIS.
 
Kama mmemfumania mke/mme wako na ukiwa na ushaidi wa kujitosheleza basi unaweza fungua kesi ya kudai talaka na mahakama ikakupa,kwa sababu uhuni ni moja kati ya sababu nyingi zilzopo zinaweza kusababisha ndoa ivunjike..na kama itatokea umeua kutokana na kitendo iko mahakaman itaangalia mda gan tukio la mauaji limetokea,kama itakua ni mda ule uliowafunia ndo uliua basi hautakua na kesi ya mauaji utachukuliwa kua haukukusudia,bt kama utaua badae basi kesi itakuhusu..angalizo,bora usiue kabisa !
 
Back
Top Bottom