Ivona kamuntu yupo vema sana

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,349
4,807
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
 
Kwa sasa yupo wapi mana ni muda mrefu sana nilikuwa namsikia RFA kipindi hicho ikitamba

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
It's ok but not alright.Mwambie aache mapozi ya kiume/kujifananisha na wanaume.Ajikite kwenye ukike wake.
 
Ivona.......what a beautiful lady.....
 
Attachments

  • Screenshot_20230518-205820_Chrome.jpg
    Screenshot_20230518-205820_Chrome.jpg
    47.7 KB · Views: 11
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
Ingelikua bungeni wanaenda kwa sauti, akina diva loveness love, ray c ama mdogo etu Ruby angepewa uspika kabisa ili asikike mara kwa mara.
 
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
Picha
 
Yuko vizuri, kama ni kada wa chama utafika wakati atapata uteuzi. Kuna dada mwingine anaitwa Asia Matona wa clouds media naye yuko smart sana katika utangazaji, sauti imenyooka awepo studioni au akiripoti kutoka bungeni dodoma
 
Back
Top Bottom