Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 936
- 1,975
Ana kokoto kichwani
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.
Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!
MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.
Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.
Muungano wa vyama lazima ufuate vikao vya vyama. Lakini huu wa Mbowe. Lipumba na Mbatia ni wahuni watatu ambao wanawazuga vichwa vya panzi kwa sababu ya uelewa mdogom kuwaambia kuwa ni muungano wa vyama. Kamuntu yupo sahihi
ivona my babe mbna unanilet down!
Hatuna haja ya TV we Gambamaskini CHADEMA, sijui sasa mtaangalia TV gani!
ana miaka ngapi embu turushie? halafu ni mtz au wa wapi? mbona anaongea kiswahili kigumu??Mwanzo kalikuwa kanalipa ila siku hizi kamechoka hata hukatamani......umri wake wenyewe kalipofikia kuolewa ni majaliwa labda kaolewe kama mke wa tatu (reserve) au concubine wa mtu
Yvonna ni mwandishi chipukizi anayefanya vizuri kuliko waandishi wengi wa kike. Waandishi wa kike wengi ni type ya kina Grace Kingalame. Wamejaza tui la nazi tu kichwani hamna jipya. Yvonna anafanya vizuri. Tumtie moyo. Yahya Mohamed fikisha pongezi zabgu kwa Ivona.
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.
Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!
MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.
Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.
JF wakati Mwingine bwana!Loh ...!
Mkuu Mwita Maranya, baadhi ya waandishi wa habari ni "wahandisi" wa habari na hawana ueledi wowote katika kile wanacho kifanya na hata ukiwachunguza utakuta hata wakati wakiwa shuleni na vyuoni ufaulu na uelewa wao ulikuwa mdogo sana. hebu jiulize Rais Obama alikuwa hapa na Rais wa China alikuwa hapa je ulisikia swali lolote la kimsingi lililoulizwa kwa maraisi hawa wanao igombea dunia toka kwa waandishi hawa...Usishangae hata angepewa fursa ya kuuliza swali angeuliza..... WHEN DID YOU MARY YOUR WIFE AND HOW MANY CHILDREN DO YOU HAVE MR PRESIDENT ? baadhi ya waandishi wetu ni vichwa maji kabisa.