Ivi ntaweza kweli kuishi maisha ya chuo kwa kiasi hki cha pesa?

pesa nyingi sana iyo kama huna anasa.........kuna supu plain 300 na chapati zako 3 kwa almost 7000........ukinywa supu saa tano asubuhi na izo chapati inatosha kabisa kuitafuta jioni utakapo kula 1000 wali nyama........+ 500 vocha na 500 maji kwa siku utakuwa umekata 3000 tu.....
Vipi kuhusu photocopy za siku hiyo,mwanafunzi aliyefiwa kumchangia?Nyie achane jamani
 
Nikujibu kama ifuatavyo:
Wakati wengi wa kipato cha chini ambao wengi wao huanzia na laki moja na wanaweza kuyamudu maisha, wakati we huna anayekutegemea ila ni kupiga kitabu tu, kama utafikiria kwamba mchumia juani hulia kivulini unaweza kukubaliana nami kuwa kwa mahitaji muhimu na ya lazima inatosha na kubaki ziada ya kurudufia material.

Mimi wakati mwingine nilipokuwa chuo tulikuwa tuna share baadhi ya mambo, mimi nikirudufu leo, tunashea na rafiki yangu ambaye yeye atarudufu kesho. Kuna ubaya gani wakati ukifiki nikishahitimu nitafanya nitakavyo?

Yakhe, achana na ziada ya viyoyozi, fridge, na vinginevyo vya kuwastarehesha marafiki wakike kwani si wakati wake, asiyekubali urafiki kwa vile tu huna virutubisho hivyo ni mtafutaji.

Huu ushauri nimeupenda...
 
mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-
Mkuu hapo kwenye RB mwenzio atadhani ni music. afu je ni KE au ME,!!?
 
Sasa wewe unahisi haitoshi laki unusu eh? Kuna mwalimu analipwa hela hiyo na cwt wanakata yao, wanasaidiwa na nhif! Afu ana mke, watoto na nyumba ndogo, anapigwa mizinga na wazazi wake, mashemeji na hata ndugu zake! Hapo anaishi nyumba ya kupanga, anakopa kununua baiskeli ama pikipiki!
 
Wakuu,asanten kwa wote mlonipa ushauri wenu,infact me ni mtoto wa kiume ntakomaa 2!
 
Wakuu,asanten kwa wote mlonipa ushauri wenu,infact me ni mtoto wa kiume ntakomaa 2!

Futa hiyo mtoto..watoto wananyonya saizi!
zen...bold...dats the spirit utatoka tu dogo ali mradi usijilinganishe na wenzio wa matawi.
 
Futa hiyo mtoto..watoto wananyonya saizi!
zen...bold...dats the spirit utatoka tu dogo ali mradi usijilinganishe na wenzio wa matawi.

yeah afu company ya ajabu inaua, kila siku mate unaona anachange usafiri na viwalo. Ukijichanganya 2 wakat ww mwenze2 na mie umeumia.
 
Aiseee babaangu ningekushauri kama ningejua jinsia yako

ngoja nipate mbege hapa
 
PESA NYINGI SANA MWAMBIE APUNGUZE ASEE AKUPE HATA 50000 KWA MWEZI then kama ni mkristo uwe unafunga
 
Back
Top Bottom