Ivi ntaweza kweli kuishi maisha ya chuo kwa kiasi hki cha pesa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ivi ntaweza kweli kuishi maisha ya chuo kwa kiasi hki cha pesa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Aug 26, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wakuu,ebu nishaurini kidogo hapa,mimi kikweli ckuapply mkopo kule heslb kutokana na sababu ninazozijua mwenyewe,sasa ishu iko hvi,mshua kanambia atakua ananitumia tsh 150000 kila mwisho wa mwezi kama pesa ya kula na matumizi mengne madogo madogo hapo chuo,naomba mnipe ushauri jaman,ntaweza kweli kusurvive kila mwezi kwa pesa hyo na ukizngatia maisha yenyewe ni ya udsm,maana nackia maisha ya hapo dar sio mchezo?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa ada atalipa nani?
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  We kwann una wasiwasi hazitakuyosha? Whats ur budget and expected expenses mpaka uone hazitoshi?
  Plus maisha ni kujiongeza..ukiona hazitoshi piga mishe mjini hapa usije na jembe akili yako tu. Ila mishe halali maana bw. Polisi atakushughulikia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama vipi usiende chuo maisha sio mpaka uende chuo
   
 5. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  mbona unasurvive fresh tu. RB 1000x2=2000,usafiri shato 600,maji ya kudownload,chai 500,vocha 500 ;total 3600/- STAREHE 1400/- jumla 5000/-
   
 6. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  iyo nimeipenda
   
 7. utakuja

  utakuja JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 818
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 80
  Yani watu kama nyie ndio nawakubali... we unabidi hata upange budget ya nchi...
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Wala usimwekee shato..mwaka wa kwanza wanapewa vyumba chuoni.
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  Kama una nia ya kusoma utasurvive too kama vp ongea nae umueleze ukweli wa maisha ya dar.
   
 10. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Punguza hiyo bajet ya starehe iwe 400 hiyo buku (1000) atatolea copy handouts na ku~print asigments...
   
 11. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  inatosha sana...ila inategemea..io laki unusu ya chakula 2 ama ad na mengne? Kama ndo msoc na kutoa kopi cjui,dah..utasanda! Jipange mapema,manake kuna asgments,madesa ya kutoa kopi kila kozi..! Msos ata 3500,kwa cku unajikaza inatosha...usiku unashindia mihogo pale kariakoo....nweys,utaenda utajioneaa! Was thea 2008-2012
   
 12. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hiyo hela ni nyingi sanah kama utakuwa si mtu wa starehe ila kama utajifunzia pombe na mademu chuoni kamwe haiwez kukutosha na lazima utasanda tu!! kwa hiyo cha msingi jipange then jitambue!!
   
 13. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kama utaishi main campus itatosha but mabibo itakuwa kibishi zaidi...
   
 14. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  haitosi hiyo pesa photocopy zina gharama sana chuo na kuna michango ya hapa na pale labda 250,000.Nafanya masters udsm nimeacha hata kununua nguo unajua wanawake tunavyopenda kuvaa.kwa sababu najilipia najibana sana na nimegundua laki tatu natumia kila mwezi na hapo sometimes sili.
   
 15. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  kweli ,yan apo laki unusu..atasanda
   
 16. m

  mazegenuka Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera kama pesa hiyo haitoshi ee si wengine tunaweza kuishi hata kwa sh 40000 kwa mwez
   
 17. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hahhaaa umenifurahisha na hii nafikiri manake atadoda?au nimekosea?
   
 18. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  No Mlo??
   
 19. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  MLO c ndo uo RB? Kwa luga ya Udsm,RB NI WALI HARAGE..
   
 20. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ah....ndo ivo asee,atadoda. Ya ndan ya wiki 2..atakula mawe..
   
Loading...