Ivi kwenye budget ya mwaka ujao2012/13,elimu sio kipaumbele?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,nimekua napekua pekua magazeti mbalimbali ili kufuatlia budget ya mwaka ujao,lakin naona sector ya elimu haijapewa kipaumbele tena kama miaka iliyotangulia!!sasa najiuliza,ndo kwamba watawala wetu wameamua kuwanyima elimu watoto wa maskini ili wao waendelee kututawala au ndo tueleweje sie?
 
Back
Top Bottom