Ivi kuna madhara gani kwa wanao nyonya uchi wa mwanamke /mwanaume

69f604320c79a73286d6af04aed2ebf7.jpg
92581d2ae9f15e893686b3a724216230.jpg
 
Inasemekana kuna bakteria wanaweza kusababisha kansa ya koo. Ngoja wataalum waje wafafanue
Nawambieni binadamu walitengeneza gari na kuweka vifuatavyo kusaidia agri.
Maji
Oil
Brake fluid
Hydrolic fluid
Kilda kiatu uwekwa sehemu yake kufanya kinyume Yalta kwako.
Ndiyo hivyo kwa binadamu weak kulikoruhusiwa.usimjaribu mungu
 
Meno yana puputika na harufu mbaya kwenye mdomo 24/7. ..acha hiyo tabia. .
Duh! Ukimwona mtu mwenye advanced oral cancer ni afadhali mara milioni aliyepukutika meno na kunuka mdomo 24/7. Inaweza kuua nerves za uso na mtu anabakia kama lisanamu tu.

Na misingi ya hii ishu kiroho ikoje? Ni dhambi hata kama ukifanya na mkeo?
 
Duh! Ukimwona mtu mwenye advanced oral cancer ni afadhali mara milioni aliyepukutika meno na kunuka mdomo 24/7. Inaweza kuua nerves za uso na mtu anabakia kama lisanamu tu.

Na misingi ya hii ishu kiroho ikoje? Ni dhambi hata kama ukifanya na mkeo?
I have no clue really. ..lakini naona ni lust. ..na hii sio nzuri. .sitaki kuhukumu lakini dhamira yako itakujulisha. .intuition
 
Madhara hupatikana endapo mmoja kati wanaoshiriki tendo hilo atakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono kama kaswende, gono, fungus, na aina kathalika za bakteria.
Ila kama wote mpo salama hamna shida mara nyingi inashauriwa kutofanya hivyo mana wengi wetu sio waaminifu hivyo si madhara tu kwa kunyonya but hata kufanya ngono isiyo salama ni hatari kwa afya yako.
Malizia chief Hatali kwa afya yako Haiyuzwi chini ya miaka 18
 
Mie demu wangu anapenda sana kunyonywa. Ukimnyonya una muona jinsi anavyo tetemeka na kutabasamu. Inampa raha.
 
Lakini nilisikia Dr mmoja anasema kuwa ni bora kunyonya uchi kuliko Denda. Sababu huko chini kuna virutubisho gani sijui.
Mwenye uelewa kidogo afafanue
mie nami nilisikia, akasema kuna chumvi inayotbu makovu ya ulimi! sasa mdada akblow job kwa jamaa anapataje chumvi
 
wakati naenda kupma ngoma! mshauri alisema kunyonyana uchi kati ya wafanya ngono ni njia nyingne ya maambukizo! akaendelea kusema kuwa vinywa vna vdonda au makovu madogo madogo sana yatokanayo wakati wa kupga mswaki, kula au kujing'ata wakati kuongea, hvyo ukinyonya uchi kwa sababu ya ulaini wake unaweza sababisha michubuko na ukanyonya damu bila kujua!
 
Back
Top Bottom