James alamba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 216
- 106
Funguka?
Inasemekana kuna bakteria wanaweza kusababisha kansa ya koo. Ngoja wataalum waje wafafanueFunguka?
Ulichosema ni sahihi 100% mkuu, haishauriwi kitaalam kunyonya uke kutokana na uwepo wa millions of bacteria & other microorganisms ambao miongon mwao wanaweza wepo wenye madhara kiafya, hii inatokana na wanawake wengi kutokuwa waaminifu pia magonjwa mwengi ya zinaa kwa wanawake huwa hayaoneshi dalili mapema hivyo unaweza kuona hakuna tatizo ama harufu mbaya mwanzon ukajua hana shida ila baadae ukakupata ugonjwaMadhara hupatikana endapo mmoja kati wanaoshiriki tendo hilo atakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono kama kaswende, gono, fungus, na aina kathalika za bakteria.
Ila kama wote mpo salama hamna shida mara nyingi inashauriwa kutofanya hivyo mana wengi wetu sio waaminifu hivyo si madhara tu kwa kunyonya but hata kufanya ngono isiyo salama ni hatari kwa afya yako.
AsanteMadhara hupatikana endapo mmoja kati wanaoshiriki tendo hilo atakuwa na maambukizi ya magonjwa ya ngono kama kaswende, gono, fungus, na aina kathalika za bakteria.
Ila kama wote mpo salama hamna shida mara nyingi inashauriwa kutofanya hivyo mana wengi wetu sio waaminifu hivyo si madhara tu kwa kunyonya but hata kufanya ngono isiyo salama ni hatari kwa afya yako.
HhahahahahhMuuliza swali inaonekana ameshaingia chumvini sasa mara kibao sasa umeshtuka! Hakuna madhara kwani chumvi ya huko ni dawa ya koo!
Kwann mkubwaUnakuja kasi! James alamba
Karibu
Kwaza salt mine!Wazee wa uvinza njooni uku mtoe ufafanuzi
Picha plz
Usijaribu hivi vitu.... Huko chini kuna fungus hatari...na hii migonoreha ndio kwake....Funguka?