Pole na hongera kwa ujasiri wa kumudu kusafiri hiyo safari ukiwa peke yako bila documentsYqlishapita uzuri hakuna kibaya kilitokea
Alijua si alikuja kunichukua standHukuwahi kumweleza baba yako juu ya jambo hilo ama hayupo? Sorry
Babu yangu eeeeh we acha tuPole na hongera kwa ujasiri wa kumudu kusafiri hiyo safari ukiwa peke yako bila documents
Ukiwa Mama miaka ijayo (kama bado), basi usije kufanya kosa la hivyo
Siku hizi watoto ni biashara, wanauzwa kama unavyoweza kuagiza Toyota brevis yako Japan
Lile tukio sisahau ndio maana ni ka share hapa na nilikua na ujasiri kuliko kawaidaPole na hongera kwa ujasiri wa kumudu kusafiri hiyo safari ukiwa peke yako bila documents
Ukiwa Mama miaka ijayo (kama bado), basi usije kufanya kosa la hivyo
Siku hizi watoto ni biashara, wanauzwa kama unavyoweza kuagiza Toyota brevis yako Japan
Hapa ndio kusema ulijiamulia mambo 😅ShesRise_1 mm nina kisa kimoja na kilinifundisha sana.
Nikiwa form 4. June. Nikapewa hela ya kulipia necta. 30k.
lakin Anko wangu pia aliniahidi atanitumia hela. Kipind hiko hela unatumiwa kwa EMS. (Unachukulia posta).
Sasa nilikuwa napenda saba American boot. Kwahiyo akil ikaniambia ile 30k ninunulie nayo american boot alaf atakayonipa anko ndio nilipie ada ya necta 😂😂😂😂.
Huwez amin had tar 30 sept. Siku ya mwisho kabisa kulipia hela ya necta form 4 sijatumiwa na anko ananipiga kiswahili 😎😎😎😎.
mimi nina msemo watu wema hawajaisha wanakusaidia bila kutaka malipoIkabidi nimvagae Mwl wa Geografia , nimwambie ukweli. alikuwa ananipenda coz somo lake nafanya vizur. Madam yule wala hakunichapa akanisema sana ila akanilipia
Apumzike kwa amani.
Anyway. Paper nilifanya.
Ila Sijui ingekuwaje bila yule Madam.
RIP. Nimekukumbuka mwal wangu.
Hapa nina ushuhuda aiseeeeSomo:- Usipigie hesabu hela uliyoahidiwa kama hisani/msaada. Pigia hesabu hela ambayo ni haki yako kupata(mshahara au ujira).
sema, lakini hata mimi nadhani alikuwa😂😂I hope hawakukuomba utamu☠️💀
Comment kama hizi zako hua hazikosekaniHawezi ku
sema, lakini hata mimi nadhani alikuwa😂😂
Malizia tuuuuuuComment kama hizi zako hua hazikosekani
Ila unavyoniona unahisi naweza kusumbiliwa nazo
Hunijui hata kidogo mimi ni mtu wa aina gani bro
Ila nitakushauri japo sio lazima pendelea kujikita kwenye mada zaidi
Mtu anaetoka njee ya topic hua naona kama ............
SitakiiMalizia tuuuuuu
Kabla ya uamuzi jaribu kuzungumza na watu wanaofahamu "ulimwengu wa roho ".Kwenye maisha ya watu wengi kuna wakati unafika unasema,
I've reached the end of the road!
Yaani unaona kabisa umefika ukomo na njia zote zimeonekana kufungwa
Mara nyingi katika nyakati kama hizo, watu hufanya maamuzi magumu na ya kutisha; maamuzi ambayo wakati mwingine huwaletea mafanikio, na wakati mwingine huwaacha na majuto ya maisha
Je, ni uamuzi gani mgumu au wa hatari uliowahi kufanya baada ya kuona huna chaguo jingine, hata kama moyoni hukupenda kuufanya?
Naanza mimi👇
Jazia nyama kidogo pleaseKabla ya uamuzi jaribu kuzungumza na watu wanaofahamu "ulimwengu wa roho ".
Kipenzi I wish ni ku hug 🫂Hapa nilipo ndo naona nimefika END END END,sijui nifanyeje? Nakosa msaada kila kona?mawazo nayowaza Mungu anisamehe.
Nimefika, naona giza nene limenifikia.Nimekata tamaa sina msaada.Hujui tu nachopitia.Kipenzi I wish ni ku hug 🫂
But hujafika bado the End
Ni kweli sijui unachopitia hakika sijuiNimefika, naona giza nene limenifikia.Nimekata tamaa sina msaada.Hujui tu nachopitia.
Kwenye maisha ya watu wengi kuna wakati unafika unasema,
I've reached the end of the road!
Yaani unaona kabisa umefika ukomo na njia zote zimeonekana kufungwa
Mara nyingi katika nyakati kama hizo, watu hufanya maamuzi magumu na ya kutisha; maamuzi ambayo wakati mwingine huwaletea mafanikio, na wakati mwingine huwaacha na majuto ya maisha
Je, ni uamuzi gani mgumu au wa hatari uliowahi kufanya baada ya kuona huna chaguo jingine, hata kama moyoni hukupenda kuufanya?
Naanza mimi👇
Thank you 🙏Don't/ never give up because in the darkest hours of hardships there is always a twinkle of light to lead you through...!
Let love and hope lead!