Alfred Daud Pigangoma
JF-Expert Member
- Mar 30, 2009
- 1,833
- 972
- Thread starter
- #41
Ni utoto unawasumbua! leo mnachekelea kwa zitto huenda kesho ikawa zamu yako....huo ni ugomvi wa watu binafsi!
Ukiona manyoya ujue kaliwa! Na ukiona hakuna coverage ya mikutano ya mwanasiasa ajue kapoteza mvuto.