ITV yatumia picha za mnato kwa Zitto

ITV yatumia picha za mnato kwa Zitto

Mkuu kama picha za mnato wamepata kwa nini za mwendo iwe kesho? Kulikuwa na ulazima gani kurusha leo? Mbona maamuzi magumu yaliyosemwa na vijana wake hakuna?[/QUOTE
fuatilia mikutano ya chadema,wa leo jion unarushwa habari ya kesho yake.nadhan ni kawaida ila wakiona kuna umuhimu wa kurusha siku hio ndio hutumia picha za mnato.
 
Hiyo habari lazima itakuwa imeandaliwa na Bavicha na kuhisaniwa na watu wa Kilimanjaro!
 
unamaikio lakini husikii, una kichwa lakin huna akili kuna tofauti kubwa ana kati ya kuruha picha ya video na na kuruha image na hii tifauti inategemea zaidi internet caverage ya sehemu husika. Kurusha picha kwa 2G ni rahisi zaidi kuliko video,
natumai umeelewa

Mkuu,
Naomba kupingana na wewe.
Sio kweli kwamba ITV wanategemea Mobile Broadband kurusha Matangazo yao,wao wana Camera zao zao na transmitter ambazo zinatuma straight kwenye sattelite,mathalani.
Assume kama ZZK angeta kurushwa Live,wangefanyeje.
Point ya mleta uzi ina hold.
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.

Kama hawajapata video unawalazmsha mkuu.
 
Mkuu,
Naomba kupingana na wewe.
Sio kweli kwamba ITV wanategemea Mobile Broadband kurusha Matangazo yao,wao wana Camera zao zao na transmitter ambazo zinatuma straight kwenye sattelite,mathalani.
Assume kama ZZK angeta kurushwa Live,wangefanyeje.
Point ya mleta uzi ina hold.

Mkuu huo ndio ukweli wenyewe. ITV sio local media, mbona huwa wanarusha habari toka kwenye misitu ya Congo! Hapa kinachoonekana mvuto wa ZZK umefikia 0%.
 
Hata kama wangetumia picha za mwendo hazitaweza kumrudisha huyo msaliti kundini

Ni utoto unawasumbua! leo mnachekelea kwa zitto huenda kesho ikawa zamu yako....huo ni ugomvi wa watu binafsi!
 
Mkuu huo ndio ukweli wenyewe. ITV sio local media, mbona huwa wanarusha habari toka kwenye misitu ya Congo! Hapa kinachoonekana mvuto wa ZZK umefikia 0%.

kama ni kweli mvuto wa zzk umefikia 0% hebu fanya mahesabu ya threads za zitto zilizoashishwa humu.....chuki binafsi at work!
 
Back
Top Bottom