ITV yatumia picha za mnato kwa Zitto

ITV yatumia picha za mnato kwa Zitto

Chadema imepoteza mvuto kwa watanzania mikutano ya mbowe na slaa kanda ya ziwa imedoda mpaka vyombo vya habari havihaingaiki nayo
utaipenda tuu hata kama sio hadharani ndani kabisa kumtima kuna space ume hifadhi Chadema! ndio hivyo mkubwa Chadema ni mpango wa Mungu na na Hakika hatutateteresha Imani yetu kwa CDM
 
inaomekana nijinsi gani unampenda zito ndio hivyo maamuzi magumu ni hayo hata shiriki tena na siasa amejitoa kumbuka hana njia nyingine ya kufanya kumbuka kuwa hata kashifa ya escrow naye anatajwa kuchukuwa pesa, sasa na muda muafaka wa kukaa nae kutumbua alichokipata.
na mpongeza sana kwa kuona mbali, na ndio maamuzi pekee aliostahili kuchukua si vinginevyo, kwa hiyo ndio mwisho wa safari yake ya kisiasa, alifikilia kuingia kwenye chama kipya alichokianzisha lakini na chenyewe kimeiingia mgogoro mkubwa sasa basi pongezi zito umesoma alama za nyakati
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.

nachojua alikuwa anatumia simu kuongea na watanzania kuhusu mambo ya kigoma, mimi binafi sikuona sababu ya yeye kuongea na watanzania
 
Kumchinja kobe kunataka timing.ameshatangaza hagombei ubunge.kifuatacho ni kutangaza kugombea urais tusubiri kati ya Act au Cuf

Atagombe urais kwani ana miaka mingapi?

SUALA LA ZITTO KUGOMBEA URAIS MMELIVALIA NJUGA UTAFIKIRI KWELI ANA VIGEZO.
 
I TV ni chombo huru, huwezi kuwashurutisha watoe habari kama mnavyotaka, Tanzania kuna vyombo vingi sana vya habari, kwanini kila siku humu jf wanaandamwa sana? hivi Mengi kumiliki media imekuwa shida? achani roho za chuki, mbona hizo video za vituo vingine hamjazileta hapa. mnakuwa kama mashoga wanaume wazima
 
Kiukweli baba wa taifa alipingania san ukabila ila bijana wa kileo tunaleta utaifa sana na yote haya miccm isioukuwa mizalendo na taifa hili ndiyo wanayaleta
 
Back
Top Bottom