ITV yatumia picha za mnato kwa Zitto

ITV yatumia picha za mnato kwa Zitto

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,833
Reaction score
972
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.
 
hapana mkuu,kama umefuatilia mara nyingi habari za jion hurushwa kesho yake,ila hii wameirusha leo hii hii nadhani ndio sababu hakukua na video.
 
Mkuu inawezekana waandishi walikuwepo! Ila ni kijijini na mkutano umefanyika jioni sana kutuma video na kuedit ingechukua mda. Hii ni kawaida sana na utokea mara nyiki kwa tukio mhimu kutumia picha!! Vituo vingne huonesha ramani ya tz na kuonesha mkoa au wilaya ya tukio lilipotukia badala ya video! Ni hali ya kawaida mambo mengine yanawezeka kuhusika ila kwa hili tuwaache wanahabari
 
Mkuu kama picha za mnato wamepata kwa nini za mwendo iwe kesho? Kulikuwa na ulazima gani kurusha leo? Mbona maamuzi magumu yaliyosemwa na vijana wake hakuna?
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.
Hata kama wangetumia picha za mwendo hazitaweza kumrudisha huyo msaliti kundini
 
Mkuu inawezekana waandishi walikuwepo! Ila ni kijijini na mkutano umefanyika jioni sana kutuma video na kuedit ingechukua mda. Hii ni kawaida sana na utokea mara nyiki kwa tukio mhimu kutumia picha!! Vituo vingne huonesha ramani ya tz na kuonesha mkoa au wilaya ya tukio lilipotukia badala ya video! Ni hali ya kawaida mambo mengine yanawezeka kuhusika ila kwa hili tuwaache wanahabari

Kulikuwa na umuhimu gani kurusha leo? Ninachojua kama ni janga la kitaifa ndio hurushwa ramani au passport size ya mwandishi na sauti.
Leo hakukuwa na sauti bali ni picha za mnato tu, pia sijasikia jina la mwandishi aliyetuma.
 
Mkuu kama picha za mnato wamepata kwa nini za mwendo iwe kesho? Kulikuwa na ulazima gani kurusha leo? Mbona maamuzi magumu yaliyosemwa na vijana wake hakuna?

unamaikio lakini husikii, una kichwa lakin huna akili kuna tofauti kubwa ana kati ya kuruha picha ya video na na kuruha image na hii tifauti inategemea zaidi internet caverage ya sehemu husika. Kurusha picha kwa 2G ni rahisi zaidi kuliko video,
natumai umeelewa
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.

mbona hata clouds tv ndi hivyohivyo
 
Kulikuwa na umuhimu gani kurusha leo? Ninachojua kama ni janga la kitaifa ndio hurushwa ramani au passport size ya mwandishi na sauti.
Leo hakukuwa na sauti bali ni picha za mnato tu, pia sijasikia jina la mwandishi aliyetuma.

Habari imesomwa na mtangazaji mwanzo mwisho. Na ilikuwa kama breaking na kesho wanaweza toa video!! Ulazima ulikuwepo na kuna watu wengi walitaka kusikia kasema nini.. Hata mimi nilifatilia clouds fm baada kutumiwa ujumbe na jamaa angu. Mkuu hii isiwe stori kubwa stori iwe alichokisema hasa kustop ubunge kigoma kaskazini yambo mambo mengi ya kujadili tofauti na hili mkuu!!
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.

Mkuu picha italetwa na ndege kesho na utaona yuda anavyohororoja.
 
unamaikio lakini husikii, una kichwa lakin huna akili kuna tofauti kubwa ana kati ya kuruha picha ya video na na kuruha image na hii tifauti inategemea zaidi internet caverage ya sehemu husika. Kurusha picha kwa 2G ni rahisi zaidi kuliko video,
natumai umeelewa

Umeona ulichoandika? Au ndio KEYPAD zina matege? Au ni muhamiaji haramu kiswahili shida?
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.

si muangalie tbccm yenu hao kwao ndio habari kubwa.
kwa waandishi makini hiyo sio habari muhimu.
 
Wadau,

Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu kwenye kituo cha ITV kulikuwa na Taarifa ya 'Zitto awaaga wapiga kura wake'. Cha kushangaza taarifa imesomwa kituoni tu na pia picha za mnato ndizo zilizotumika.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusiana na habari hii. Je, hakukuwa na waandishi wa picha za mwendo? Kama tulivyoaminishwa kuwa leo angetoa maamuzi magumu! Au kwa kuwa ni dead story ndio maana mwandishi ameyeyusha? Au ni tatizo la MB 8? Au ndio kesha kuwa USED?

Nimeamini siasa si sawa na hesabu, jibu lolote laweza kuwa sawa, inategemea umeangalia wapi.
Kumchinja kobe kunataka timing.ameshatangaza hagombei ubunge.kifuatacho ni kutangaza kugombea urais tusubiri kati ya Act au Cuf
 
Back
Top Bottom