ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
Sasa kama kila TV itatangaza kama TBC1 maana ya kuwa na Channel nyingi inakuwa hakuna.
TBC1 inahemea ruzuku serikalini na lazima iifagilie serikali lakini ITV inapambana yenyewe kwa matangazo hivyo lazima itangaze mambo ambayo wananchi wanataka kuyaona
 
Itv hamnaga tv kama ile tz. Tbc1 kidogo wakati wa tido nilikuwa naangalia. Unanishangaza ndugu saiv kituo bora cha habari ni itv yale majitu yanajua nn tunataka. Jitu kama ww ulitaka uone taarifa unayotaka itv wanamipangilio yao ya habari .

HAMNAGA ndio KISWAHLI gani?
 
Mheshimiwa raisi asipoangalia kuna watu watamwingiza katika balaa la ubaguzi wa kikabila na kidini
 
Hama stesheni, ni nini mbaya? Ukipenda Fanta wenzio wapenda Sprite wengine Zero na Pepsi.
 
Kwani wewe hujui kuwa ITV mmiliki wake ni mengi historia ipo wazi katika wauza madawa na wakwepa kodi wakubwa mengi naye yumo kwahiyo hawezi kumpenda jpm note hilo.
 
Ukweli ni kwamba mimi nime iondoa ITV kwenye my favorite channels!!
 
Mtoa mada hayuko mbali na ukweli...imewauma saaana.
HAPA KAZI TU..maneno peleka________ .
 
wewe uliyesema "wachaga wana kinyongo........" jitahidi ufute huo msamiati kichwani kwako. Ubaguzi wa aina yeyote si mzuri hata kidogo. Mi ni mchaga, sina kinyongo na kitu chochote wala mtu yeyote. Na kama kuna mtu anayetokea kilimanjaro ana kinyongo basi hakitokani na kabila lake bali itikadi yake binafsi. Hiyo hotuba ya kihistoria niliifatilia ikirushwa moja kwa moja na itv kwa hiyo hizi shutuma hazina msingi zaidi ya uzandiki. Pita hivi na ukabila wako.
 
Vyovyote tutakavyoongea ITV bado ni kituo bora kuliko vyote tz japo vituo vingine hususan TBC inauwezo wa kuwa kituo bora zaid ya vyote ila kwa utashi wao wameamua kujiweka jinsi walivyo hivi sasa.
 
huyo siye waliye mchagua wengi
 

Wenzako kina makonda paulo hawakujipendekeza namna hiyo ili wapate ukuu wa wilaya, kafunge tu gidamu za rizimoja utapata unachokihitaji.Otherwise, ITV wanajitambua, wanakumbuka vizuri hotuba nzuuuuuuri ya mbayuwayu ya 2006,kilichotokea wahabeshi ndio wamekuwa mabalozi wetu China .
 
hivi mengi na lowassa wanaundugu jamani? naona kama wamefanana vile hata ongeayao inaendana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…