ITV nimeona mende...

ITV nimeona mende...

Usilazimishe watu kama vipi pita taratibu. Mtoa mada kasema kaona mende.
Nimelazimisha nini mkuu, mbona povu?

Kwa hiyo jamaa ndio mara yake ya kwanza kuona mende siyo?
 
Dah, mimi mke wangu kanionyesha, inabidi kesho nipeleke TV kwa akaiflash.
 
Cha ajabu nini sasa kwani Mungu aliumba binadamu pekee duniani mbona kwako unao hadi chumbani...upuuzi tu mkishavimbiwa.....!!!
 
Jama, Inzi, mbu, mende, sisimizi, mijusi, kunguru, ndege hawa ni viumbe ambao hutegemea riziki kutoka kwa binadamu. Nadhani ungeona Simba, au Chui, au Tembo kakatiza, hiyo nadhani ingekuwa habari.
Mbona kukuta uchafu barabarani sio habari?
Hahaaaaaa. eti tembo kakatiza
 
Isijekuwa huyo mende alikuwa kwenye screen ya TV yako mkuu.
 
Ni kweli ila kwa pale nadhani kosa sio la itv bali la kile chama kuweka mkutano muhim kama ule kwenye ukumbi uliochakaa kiasi kile walipaswa kuwa sehem bora zaidi
 
Habari wanajamvi,

Taarifa ya habari ya Leo 8/7/2017, wakati wa Habari za Michezo hususani habari kuhusu UCHAGUZI WA SOKA LA WANAWAKE TANZANIA. Wakati msimazi wa Uchaguzi akiongea nimeona Mende nyuma ya muongeaje akiranda randa mlangoni.

Mh!..

ITV Imechoka sana jamani,
nawashauri watu muangalie Azam
 
Aisee! Hii post imenifurahisha sana...
 
Hivi viumbe vimezidi kuzagaa zagaa hovyo kwa kuwa hatuvitafuni...

Ingelikuwa tunavitafuna vingekuwa adimu hata kuviona kwa bahati mbaya studioni isingelitokea...
 
Back
Top Bottom