ITV ilianzana EGOLI then ndio ikafuata ISIDINGO its very interesting....kuna love,business,cultural,crime issues kwenye hii tamthilia tofauti na za kifilipino zilizojaa mapenzi tuu
Duh. Watu mna kumbukumbu!
Egoli, a place of gold. Kweli ni ya kitambo sana.
we acha tu. ITV ilituburudisha sana....unakumbuka 21 jump street,renegade,family matters[steve na lora],life goes on,hanging with mr cooper....
Isidingo The need, hii need bado inapendwa sana, toka nimeanza kuangalia sikumbuki mwaka kati ya 1994 na 1996 , mpaka sasa naendelea kuiangalia.
Sasa hivi ukiachilia Lerato na Cancer ni kisa cha Lincoln na mdogo wake Jeff, Lincoln alitembea na mke wa mdogo wake jeff.
Yap huwa napenda sana kumuangalia Jacob Zuma akicheza ngoma za kwao huwa kuna mvuto fulani hivi.tamthilia zote ninazoangalia za SOUTH AFRICA hata zikiwa westernized kiasi gani hawasahau culture yao....lazima wataingiza mambo ya ancestors hata wawe matajiri kiasi gani...kwa mfano kisa hiki wanaamini majanga yote ya familia ni ancestors wamechukizwa na kitendo cha lincoln kutembea na mke wa mdogo wake na kutoa mimba ambayo kwa utamaduni wao wameua mtoto na mpaka wakatambike na kuomba msamaha kwa ancestors ndio majanga ya familia yataisha. nawafagilia wa-south kwa kuthamini utamaduni wao.
Wale wanaoangalia etv kuna nyingine nayo inaitwa the "Young and the Restless" nayo haiishi
DSM Mkuu na kisimbusi cha Startimes nimelipia miezi 4 mbele....pole. mkoa gani? mbona mimi nazipata. sijui leo sijaangalia
naipenda..... Ila sasa nimejikuta nipo mbele sana sasa naisubiria ifike nilikokuwa then ntaendelea.
Vipi generations? Inaonyeshwa na channel ipi na lini?
kwetu uswazi hiyo tamthilia tunaiona mizinguo tuu
jana uliangaliaaaaa
generation huwa naiangalia sijui ni chanel gani ile ya south
nitajie channel please, maana pia naipenda sana, nimejaribu kuitafuta sijaionageneration huwa naiangalia sijui ni chanel gani ile ya south
nitajie channel please, maana pia naipenda sana, nimejaribu kuitafuta sijaiona
Inapatikana kwenye king'amuzi gani mkuu?angalia SABC 2 ya south africa