TGMT
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 379
- 514
Kwa mapokezi haya Jiwe atakua anatamaaaniTupo mitaa ya Kinodoni Studio.Mamilioni ya watanzani wakiwamo CCM na CHADEMA wamejitokeza kumpokea.Watu ni wengi sana na mvua ni kali sana.
Kwa mapokezi haya Jiwe atakua anatamaaaniTupo mitaa ya Kinodoni Studio.Mamilioni ya watanzani wakiwamo CCM na CHADEMA wamejitokeza kumpokea.Watu ni wengi sana na mvua ni kali sana.
Daaah! Ukifa ndo watu wanakupenda![]()
Ni lazima uwekeze katika mioyo ya watu ili upate mapokezi ya namna hii.Mvua ni kali sana ila watu bado ni wengiKwa mapokezi haya Jiwe atakua anatamaaani
Ni lazima uwekeze katika mioyo ya watu ili upate mapokezi ya namna hii.Mvua ni kali sana ila watu bado ni wengi
Mengi alipendwa toka yupo haiDaaah! Ukifa ndo watu wanakupenda![]()
Clouds sio ITV mengi ni mtu wa mzima wa heshima hajawa overrated kwa udaku udaku.Mbona Clouds walikuwa wanatuonyesha wakati wa Ruge?