ITV MUBASHARA

ITV MUBASHARA

Wanaonyeshabsaa hivi tatizo una haraka au ulitaka kuona ndege inavyotua
Wajinga kweli nipo naangalia livestreming naonanwanazungumza tu studio hawaonyeshi airport. Nimeacha kuangalia
 
Kwani mwili umeshawasili? Walisoma ni leo Jumatatu ila sijaona maandalizi watanzania viungo vya DSM kumpokea
Ushawasili sema saa hivi hapa nilipo tanesco wamekata umeme manina zao
 
59064785_397950174125625_7191076191625355775_n.jpg
60031418_2208366972580097_5950256065889281505_n.jpg
 
Leo ITV mmetuboa watazamaji wenu, tulikuwa tunategemea mtatulushia Mubashara toka mwili unavyoshushwa na yanayojili mitaani Kama ilivyokuwa wakati wa Ruge lkn sivyo, Tambueni huyu ni mtu Mkubwa na watu wengi tunataka kuangalia japo tupo mbali, lkn ninyi Mmekaa tuu kwenye TV km vile malumbano ya hoja.Tunataka kuona live

UNAONGEA UTUMBO USIOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU.
NINI KINAONYESHWA SAA HIZI??
MEDIA ZA EATV, ITV CAPITAL, RADIO ONE, CAPITAL RADIO, CLOUDS TV ZOTE ZINAONYESHA LIVE
ACHA KUKURUPUKA KUANDIAKA UPUPU
 
View attachment 1089663 Unataka Itv waonyeshe jinsi boss wao alivyohuzunisha? Aisee mtu alitokea VIP leo anarudi cargo tena kwa fork mpweke hana ulinzi....Dah! Kweli kifo hakina huruma!
Ukisema cargo ni mzigo. Huu ni udhalilishaji kwa mchukua picha na kwa yeyote aliyeibandika popote, hata hapa.
 
UNAONGEA UTUMBO USIOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU.
NINI KINAONYESHWA SAA HIZI??
MEDIA ZA EATV, ITV CAPITAL, RADIO ONE, CAPITAL RADIO, CLOUDS TV ZOTE ZINAONYESHA LIVE
ACHA KUKURUPUKA KUANDIAKA UPUPU
Hujui ulisemalo ndugu, mwanzoni haikuwa hivi Punguza Hasira zako
 
Kama jina lako lilivyo na ndio akili yako na mawazo yako yalivyo! Yaani huwezi kujua Kuwa ofisi nyingi siku hizi kuna TV? So Unafanya kazi Huku unaangalia TV? Pole Sana hujui ulisemalo.
Sisemi juu ya uwepo wa TV, nashangazwa na kiu yako ya kuona kuwa utaugua usipoona mwili wa marehemu. Kafanye kazi, acha kuhusudu wafu.
 
View attachment 1089663 Unataka Itv waonyeshe jinsi boss wao alivyohuzunisha? Aisee mtu alitokea VIP leo anarudi cargo tena kwa fork mpweke hana ulinzi....Dah! Kweli kifo hakina huruma!
Kaka acha kaka!! maisha haya ni ya kuyaangalia tu yaende. Mengi leo amerudi kwa stamp ya cargo!!!! Lakini tuna viongozi wengi sasa hivi TZ huwa hawawazi kama kuna hatua hii....
 
Umeenda Mzee ila Nadhani umeacha alama kubwa na watu walikupenda maana hakuna promo ila watu waliojitokeza kukuaga hakika walikupenda
 
View attachment 1089663 Unataka Itv waonyeshe jinsi boss wao alivyohuzunisha? Aisee mtu alitokea VIP leo anarudi cargo tena kwa fork mpweke hana ulinzi....Dah! Kweli kifo hakina huruma!
Inahuzunisha sana Mzee yupo ndani ametulia tulii anapitishwa kama mzigo. Mungu hapa kwenye kifo alituweza sana. Daaah.. Lakini bado tutasahau tu na kuyatukuza maisha ya duniani
 
UNAONGEA UTUMBO USIOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU.
NINI KINAONYESHWA SAA HIZI??
MEDIA ZA EATV, ITV CAPITAL, RADIO ONE, CAPITAL RADIO, CLOUDS TV ZOTE ZINAONYESHA LIVE
ACHA KUKURUPUKA KUANDIAKA UPUPU
Mkuu punguza jazba angalia uzi umewekwa saa ngapi na wameanza kuonyesha saa ngapi
 
Leo ITV mmetuboa watazamaji wenu, tulikuwa tunategemea mtatulushia Mubashara toka mwili unavyoshushwa na yanayojili mitaani Kama ilivyokuwa wakati wa Ruge lkn sivyo, Tambueni huyu ni mtu Mkubwa na watu wengi tunataka kuangalia japo tupo mbali, lkn ninyi Mmekaa tuu kwenye TV km vile malumbano ya hoja.Tunataka kuona live
Tupo mitaa ya Kinodoni Studio.Mamilioni ya watanzani wakiwamo CCM na CHADEMA wamejitokeza kumpokea.Watu ni wengi sana na mvua ni kali sana.
 
Daaah! Ukifa ndo watu wanakupenda 😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom