ITV mmempandisha Daladala Mkurugenzi Wangu

ITV mmempandisha Daladala Mkurugenzi Wangu

WAAC
Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.

Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi wangu huwa anaangalia taarifa ya habari ya ITV peke yake kwa vile anaamini huwa kinatangaza habari za uhakika na kwa kuwa yuko busy pia.
Bahati mbaya jana hakuona hilo agizo la Mkuu wa mkoa hivyo leo ameliacha gari nyumbani ili fundi aje akalitoe tinted.

Alipopanda daladala njiani anashangaa kuona tinted ziko kibao na watu wakaanza kuliongelea hilo agizo alishangaa yeye hakuona kwenye taarifa ya habari.

Sasa hapa ofisini watu wanamwambia wao waliona Chanel ten na wengine TBC wengine Startv n.k.. Bahati nzuri mi binafsi niliona Channel ten.

Kwa niaba ya mkurugenzi wangu nimeona nifikishe ujumbe huu kwa ITV.

HATA KILIMANJARO H/KEMPISKY HAWAKANYAGI NDIO ZAO WATABANA MWISHO WATAACHIA hahaha
kwenye hilo la TINTED BIG UP MAKONDA
 
Kumbe una mkurugenzi wako?
Kwa lugha ya malkia tunaitaje nadhani ndo Personal Director

sent from Sokoro nkorambokande
 
Wakuu kama nilivyo sema. Ni kweli kwamba mkurugenzi wangu alikuwa yuko busy sana week iliyo pita hadi hapa anamalizia kuandaa taarifa. Hivo yuko busy sana.
Hakuweza hata kupitia mitandao ya kijamii hata sisi tulijua ameshaoa ila kwa kuwa alikuwa busy habari hiyo imempita.
Hana hata lisaa limoja la kupumzika na kuperuzi. Bado anaishi ki analojia tu. Inabidi abadilike aendane na kasi ya ulimwengu.
 
Mkurugenzi anashindwa kukodi hata taxi? haya hata bajaji?

Aliupataje ukurugenzi?
 
Mfahamishe tu kwamba Marufuku ilitolewa na Polisi siku ya Wajinga Kitaifa.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Mtu makini sana huyo; anafuata maelekezo inavyopaswa.

Kuna mwenzio hapo juu anaitwa Jinga lao, anasema huyo Mkurugenzi hajitambui eti kisa hakuangalia taarifa ya habari TBC.
 
Huyo mkurugenz muoga hivyo..mmhhh....
Ht angekamatwa...kwan sh ngapi...aache uoga vitu vdg sana
 
Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.

Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi wangu huwa anaangalia taarifa ya habari ya ITV peke yake kwa vile anaamini huwa kinatangaza habari za uhakika na kwa kuwa yuko busy pia.
Bahati mbaya jana hakuona hilo agizo la Mkuu wa mkoa hivyo leo ameliacha gari nyumbani ili fundi aje akalitoe tinted.

Alipopanda daladala njiani anashangaa kuona tinted ziko kibao na watu wakaanza kuliongelea hilo agizo alishangaa yeye hakuona kwenye taarifa ya habari.

Sasa hapa ofisini watu wanamwambia wao waliona Chanel ten na wengine TBC wengine Startv n.k.. Bahati nzuri mi binafsi niliona Channel ten.

Kwa niaba ya mkurugenzi wangu nimeona nifikishe ujumbe huu kwa ITV.
Aiseee hii kali
Mkurugunzi wako kwa nini aliweka tint naye ni mzinzi?
 
Huyo mkurugenzi asiyejua Hakuna sheria yoyote ambayo ingemtia hatiani kwa yeye kuwa na tinted! Kweli mtu Kama huyu anaweza kutetea masilahi ya Nyie mliochini yake mbele ya sheria!? Tafakari chukua hatua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom