ITV mmempandisha Daladala Mkurugenzi Wangu

Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.

Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi wangu huwa anaangalia taarifa ya habari ya ITV peke yake kwa vile anaamini huwa kinatangaza habari za uhakika na kwa kuwa yuko busy pia.
Bahati mbaya jana hakuona hilo agizo la Mkuu wa mkoa hivyo leo ameliacha gari nyumbani ili fundi aje akalitoe tinted.

Alipopanda daladala njiani anashangaa kuona tinted ziko kibao na watu wakaanza kuliongelea hilo agizo alishangaa yeye hakuona kwenye taarifa ya habari.

Sasa hapa ofisini watu wanamwambia wao waliona Chanel ten na wengine TBC wengine Startv n.k.. Bahati nzuri mi binafsi niliona Channel ten.

Kwa niaba ya mkurugenzi wangu nimeona nifikishe ujumbe huu kwa ITV.
Ninamshauri arudi nyumbani akapande gari lake aende kazini, ni sawa tu na kurewind kaseti.
 
Hata mimi sikupata taarifa hizo... nimetoa tint kwenye gari langu nitamshitaki mkuu wa polisi anilipe fidia... huyo polisi aliyetamka tuondoshe tint apimwe mkojo
 
Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.

Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi wangu huwa anaangalia taarifa ya habari ya ITV peke yake kwa vile anaamini huwa kinatangaza habari za uhakika na kwa kuwa yuko busy pia.
Bahati mbaya jana hakuona hilo agizo la Mkuu wa mkoa hivyo leo ameliacha gari nyumbani ili fundi aje akalitoe tinted.

Alipopanda daladala njiani anashangaa kuona tinted ziko kibao na watu wakaanza kuliongelea hilo agizo alishangaa yeye hakuona kwenye taarifa ya habari.

Sasa hapa ofisini watu wanamwambia wao waliona Chanel ten na wengine TBC wengine Startv n.k.. Bahati nzuri mi binafsi niliona Channel ten.

Kwa niaba ya mkurugenzi wangu nimeona nifikishe ujumbe huu kwa ITV.

Najaribu kwa juhudi zangu zote zilizotukuka kutafuta point ya maana katika uzi wako huu mpaka sasa bado sijaipata.
 
Siamini kama bosi wako ni mtu muoaga kiasi hicho! Alipandaje cheo mpaka kufika huo ukurugenzi kwa uoga huo?
Au ni mwanamama?
Huyo anaweza kuwa ni Managing Director kama Mzee Mengi. Mawazo ya kuajiriwa tunayo wewe, mimi na mleta mada ndio tunasubiri kupandishwa cheo. Usikariri mfumo mmoja wakati ipo mingi.
 
Wanajamvi, Uzi huu umekaa kisiasa na kwa maana hiyo mwanzilishi wake ni shabiki mkubwa wa Makonda aka DAB.

Anachofanya JF Member ni kuwananga ITV kijanja, kwa maneno mengine anasema "Nyie ITV, mmetii agizo la Jukwaa la Wahariri kususia kutangaza habari za Makonda, ona sasa wananchi wanakosa habari njema kama hii kutokana na msimamo wenu!"

Matukio haya na uzi huu viko coordinated sana. Kuanzia tukio la JPM kumuita DAB amuombe radhi Ruge huko Tanga, DAB kutoa agizo linalopingana na Kampeni ya Jeshi la Polisi na sasa uzi huu unaletwa.Haukuletwa kwa bahati mbaya.

Jambo la kusikitisha ni kwamba upendeleo anaopata DAB kutoka kwa mkuru ni kero na kikwazo kwa watendaji wengine kama jeshi la polisi ambalo kwa nia njema kabisa liliamua kudhibiti uhalifu. Inasikitisha kwamba JPM anajenga mnara Mnara wa Babeli bila kujijua. Fikiria Jeshi ambalo lina wataalamu wamebaini kwamba tinted ni tatizo, halafu anakuja mtu aliyefeli darasa la saba anetengua agizo la kitaalamu kabisa. Kilangila.
 
Najaribu kwa juhudi zangu zote zilizotukuka kutafuta point ya maana katika uzi wako huu mpaka sasa bado sijaipata.
Mkuu ahata wewe umeanza kuwa kilaza.Soma basi hiyo sentence ya mwisho. Ama ulitaka niongee majungu?
 
Wanajamvi, Uzi huu umekaa kisiasa na kwa maana hiyo mwanzilishi wake ni shabiki mkubwa wa Makonda aka DAB.

Anachofanya JF Member ni kuwananga ITV kijanja, kwa maneno mengine anasema "Nyie ITV, mmetii agizo la Jukwaa la Wahariri kususia kutangaza habari za Makonda, ona sasa wananchi wanakosa habari njema kama hii kutokana na msimamo wenu!"

Matukio haya na uzi huu viko coordinated sana. Kuanzia tukio la JPM kumuita DAB amuombe radhi Ruge huko Tanga, DAB kutoa agizo linalopingana na Kampeni ya Jeshi la Polisi na sasa uzi huu unaletwa.Haukuletwa kwa bahati mbaya.

Jambo la kusikitisha ni kwamba upendeleo anaopata DAB kutoka kwa mkuru ni kero na kikwazo kwa watendaji wengine kama jeshi la polisi ambalo kwa nia njema kabisa liliamua kudhibiti uhalifu. Inasikitisha kwamba JPM anajenga mnara Mnara wa Babeli bila kujijua. Fikiria Jeshi ambalo lina wataalamu wamebaini kwamba tinted ni tatizo, halafu anakuja mtu aliyefeli darasa la saba anetengua agizo la kitaalamu kabisa. Kilangila.
Mkuu uwe unaondoa kwanza miwani akilini.
Siku nyingine uwe unatafakali kabla kujatoa shudu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom