chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,557
- 28,433
TV unayo kwanza?ITV hata mimi nawapotezea siku hizi, hawana dili
TV unayo kwanza?ITV hata mimi nawapotezea siku hizi, hawana dili
Me bado nina waamini 100% zaidi ya TBC na Azam na nyinginezo nikikosa tarifa ya habari y ITV huwa najisikia vibayaITV hata mimi nawapotezea siku hizi, hawana dili
mkuu, inasemekana ni yale yale mambo yetu ya kiki.Kumbe makonda alitengua, anatafuta sifa tu amechelewa sana
ITV siku izi wanazingua sana. Wenyewe kazi kuonyesha mauaji ya wafugaji na wakulima. Badala ya kuonyesha na vitu vya maendeleo lakini kuikosoa nchi, wanachofanya ni sawa kukosoa lakini kwenye kusifia wasifie pia.ITV hata mimi nawapotezea siku hizi, hawana dili
Pole super dear...
Misuse of human resource and moniesAna drive mwenyewe.. Dereva anaye ila kwa sasa anapenda kudrive mwenyewe akiwa na safari za hapa mjini. Na dereva humtumia tu akiwa anatoka nje ya jiji.