GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,648
Mkuu ahata wewe umeanza kuwa kilaza.Soma basi hiyo sentence ya mwisho. Ama ulitaka niongee majungu?
Hata hapa bado nahangaika kukuelewa Mkuu.
Mkuu ahata wewe umeanza kuwa kilaza.Soma basi hiyo sentence ya mwisho. Ama ulitaka niongee majungu?
Hahaha, Haya mkuu nitakupigia simu nikuelezee.
Kuna mtu anaangali TBC mpaka leo?Mkurugenzi anayeacha kutazama TBC ni mkurugenzi msanii
Uliiona hiyo nihabari kabisa yamsingi ??tamko juzi jana kutengua .ITV hata mimi nawapotezea siku hizi, hawana dili
Kwani hilo tamko lilitolewa ITV ???huko alikoliona ndo alitakiwa akaone nautenguzi wake .Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.
Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi wangu huwa anaangalia taarifa ya habari ya ITV peke yake kwa vile anaamini huwa kinatangaza habari za uhakika na kwa kuwa yuko busy pia.
Bahati mbaya jana hakuona hilo agizo la Mkuu wa mkoa hivyo leo ameliacha gari nyumbani ili fundi aje akalitoe tinted.
Alipopanda daladala njiani anashangaa kuona tinted ziko kibao na watu wakaanza kuliongelea hilo agizo alishangaa yeye hakuona kwenye taarifa ya habari.
Sasa hapa ofisini watu wanamwambia wao waliona Chanel ten na wengine TBC wengine Startv n.k.. Bahati nzuri mi binafsi niliona Channel ten.
Kwa niaba ya mkurugenzi wangu nimeona nifikishe ujumbe huu kwa ITV.
Sawa kiongoziHaya sio mahesabu mkuu kwamba 1+1= 2, hoja huwa na tafsiri kadhaa. Yangu pia inaweza kuwa sahihi.
Alijuaje zimepigwa marufuku at first place?Wakuu kama nilivyo sema. Ni kweli kwamba mkurugenzi wangu alikuwa yuko busy sana week iliyo pita hadi hapa anamalizia kuandaa taarifa. Hivo yuko busy sana.
Hakuweza hata kupitia mitandao ya kijamii hata sisi tulijua ameshaoa ila kwa kuwa alikuwa busy habari hiyo imempita.
Aliliona ITV hapohapo na ndo alikuwa wa kwanza kupost kwenye group letu la whatsp huku alililalamikia kweliKwani hilo tamko lilitolewa ITV ???huko alikoliona ndo alitakiwa akaone nautenguzi wake .
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mkurugenzi wa karne ipi asiyekuwepo kwenye social media? Mbona kote habari ilisambaa mitandaoni kwa sekunde kadhaa baada ya tamko la RC? Mwambie asiwe anti-social!Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.
Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi wangu huwa anaangalia taarifa ya habari ya ITV peke yake kwa vile anaamini huwa kinatangaza habari za uhakika na kwa kuwa yuko busy pia.
Bahati mbaya jana hakuona hilo agizo la Mkuu wa mkoa hivyo leo ameliacha gari nyumbani ili fundi aje akalitoe tinted.
Alipopanda daladala njiani anashangaa kuona tinted ziko kibao na watu wakaanza kuliongelea hilo agizo alishangaa yeye hakuona kwenye taarifa ya habari.
Sasa hapa ofisini watu wanamwambia wao waliona Chanel ten na wengine TBC wengine Startv n.k.. Bahati nzuri mi binafsi niliona Channel ten.
Kwa niaba ya mkurugenzi wangu nimeona nifikishe ujumbe huu kwa ITV.
Hii habari ni FEKI kwa 100%