JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,201
- 11,350
Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.
Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi wangu huwa anaangalia taarifa ya habari ya ITV peke yake kwa vile anaamini huwa kinatangaza habari za uhakika na kwa kuwa yuko busy pia.
Bahati mbaya jana hakuona hilo agizo la Mkuu wa mkoa hivyo leo ameliacha gari nyumbani ili fundi aje akalitoe tinted.
Alipopanda daladala njiani anashangaa kuona tinted ziko kibao na watu wakaanza kuliongelea hilo agizo alishangaa yeye hakuona kwenye taarifa ya habari.
Sasa hapa ofisini watu wanamwambia wao waliona Chanel ten na wengine TBC wengine Startv n.k.. Bahati nzuri mi binafsi niliona Channel ten.
Kwa niaba ya mkurugenzi wangu nimeona nifikishe ujumbe huu kwa ITV.