Mimi sioni kama kutoa mimba ni big deal kwa miaka hii. Asilimia kubwa ya wanawake almost 70% walio kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa wameshatoa mimba.
Kwani kuna ubaya gani kumuonyesha victim? Kila kitu mnataka kifichwe halafu mkija kukisikia mnabakia kulalama kuwa mnafichiwa habari
alafu mbona anaonekana mkubwa na wigi juu,ni mwanafunzi kweli alafu wa form 2 tusubiri tuone mwisho wake
Mimi nimependa sana. Kuna mambo mengi ITV walitaka tujue:1. Binti wa f2 alikuwa anatembeza kitengo mtaani mpka alipotolewa mimba2. Anaonekena kama changu kwa minywele, mikucha...3. Kuna dalili za uwongo kwani police imeabaini kuwa alikuwa house girl wa jamaa4. Usoni anaonekana kama ana lake jambo kwani hayuko serious na uzito wa tukioTuna haki ya kumwona live mtu kama huyo tena leo wamrushe mara ya 3Nimeshangaa kuona mnamuonesha msichana aliyetolewa mimba bila kujali kuwa jambo hili litamletea shida katika maisha yake. nijuavyo habari kama hii huwa mnapaswa kutomu- expose mhusika kwenye public. msichana elizabeth afungue mashitaka kwa jambo hili.
kumbe huko maisha ndo kulivyo? weekend hii ndani ya nyumbawanafunzi wanapata mimba kwa sababu ya viherehere vyao...JK,hapo ndipo kauli ya mkuu wa kaya inapopata mashiko..yule anayeitwa mwanafunzi wote si mmemuona alivyokaa kichanguchangu..vitoto vimepagawa siku hizi,.nenda maisha club ukaone visichana vya miaka 13 vilvyojaa vinaliwa madenda na mikaka...nyambaf kabisa watoto hawa.nawasilisha
Pdidy! Kha!:A S 465:Anywa hii iwe fundisho kwa wengine
ni dk malyya wa aghakan...amekuwa akimshawishi sana ssana kumtoa huyu mwanamke mimba akawa anakataa
na alichofanya nahisi ndicho cha kumfikisha mahakamani kwa nini
1..sindano aliopigwa aijulikani kama iko salama
2.binti apimwe hiv pengine pamoja mmejua ni kwa ajili ya kutoa mimba pengine ameeweka mambo yake dk kukuondoa ni dk 1 na thumuni
3..swala la kwa nini amepata mimba hio ni la huyo binti kwa nini alimvulia chupi akijua ni mwanafunzi
na wakati anataka kuingiza akujua anatakiwa kutumia condom ama akujua asipotumia condom atazaa nzi??
Lazima hawa watoto ifike wajue matatizo kama haya ayako kwa wanaume tu na kwawanawake wajue ....
4.akiwa anampangusa shahawa yule mwanaume akumuuliza zile zilizo ingia ndani ni nini na madhara yake
5...lazima ajue wakati wa raha ajue kuna shida..hata biblia inasema kuna wakati wa raha wakati wa shida wakati wa kununa wakati wa kucheka sasa alicheka kitandania kikojolewa leo akanune vizuri
loh
[/QUOTE]Ni kwmba daktari alikuwa na mahusiano na yule binti( nadhani ni kidato cha 2/3) then yule binti akaconceive daktari akamwambia waitoe mimba binti akakataa...sasa cku hyo ndo binti kaenda huko hospital Aga Khan jamaa katumia mwanya huo kumchoma sindano(nadhani ya uchungu) so binti akaondoka bt baada ya muda akafil maumivu..ksho yake kaenda hosptal nyngne kawe akajifungua kichanga hakijatimiza muda. Ndo zengwe likaanzia hapo.
QUOTE=zumbemkuu;3199369]nimecheki ile hbr sikuielewa vyema, msichana mwenyewe anataka haki ifuatwe, sasa sijui alilazimishwa kutoa mimba?
alafu mbona anaonekana mkubwa na wigi juu,ni mwanafunzi kweli alafu wa form 2 tusubiri tuone mwisho wake
Anywa hii iwe fundisho kwa wengine