Haya niliyajua mapema. Natambua kuwa nilishaubeba msalaba huu, nitaendelea kuubeba kwa niaba yenu. Mbona mara ya kwanza walinikamata harakaharaka? Mbona Utamu wanamwacha? Au kwakuwa ana udugu na kiongozi wa juu ndani ya Chama tawala?!
Mzee Kiko.... pamoja na hilo kasema pia watu wasivunje sheria kwa kusingizia kuwataja wahalifu. Uliisikia hii? ilikuwa ikimgusa mzee Mengi moja kwa moja, JK kwa kuchanganya mdomo hatumwezi!
Haya niliyajua mapema. Natambua kuwa nilishaubeba msalaba huu, nitaendelea kuubeba kwa niaba yenu. Mbona mara ya kwanza walinikamata harakaharaka? Mbona Utamu wanamwacha? Au kwakuwa ana udugu na kiongozi wa juu ndani ya Chama tawala?
Wana JF, nitabeba msalaba huu kwa niaba yenu. Nipo tayari! I will never disclose anyone and after all, I know none. I know your JF nicks and do not know who exactly are you! You can't compare JF with Utamu. Muhimu ni watu kuwa makini, wenye dhamira ya kuchafua ndo wameongezeka kadiri siku za uchaguzi zinavyokaribia.
Thanks to God, ndo nimeacha kazi rasmi nilikokuwa nimeajiriwa na kuwa dedicated kwa ajili ya maendeleo ya JF. Once they need me, they know where to find me and how to reach me. I'm not Invisible, am not Mwanakijiji and am not Rev. Kishoka etc, am Maxence.
Sijui ni wapi tunaelekea Tanzania!
...hilo la kumshut down halipo ila mwenyewe akiamua kufanya hivyo well and good as long as ana bide by sheria zinazomruhusu kurusha hayo matangazo
Kuhusu JF...hapo hakuna kitu unless unataka kutuambia Mengi keshainunua ...
...ohhhh kuhusu JF kuwa shut down hilo halipo nyie endeleeni tuuu
in a nutshell nzi leo naona exclusive yako imekuwa haina kiambatanishi cha upupu kama sikuzote unless utauleta baadae as attachment
I like this,ni kweli we need to support him by any means.Lakini hwa jamaa wanatumia nguvu ya hela saaaaaaana saaaaana ni tishio.Game, route aliyochukua Mengi inaweza kum cost kama asipopata support ya wazalendo, kwasababu uelewa wa wabongo nao una extent yake. Inanikumbushia ile stori ya kelele za mbwa mwitu zilizopuuziwa kwasababu kila mara waliojitolea kuja kumrescue mpiga kelele hawakumwona mbwa mwitu,tusipomwona mbwa mwitu,Mengi will suffer,hope kuna wazalendo tosha wa kuamua kumpa support kwani utumwa umetulemaza na hatuoni ni kwa vipi na sisi na rangi zetu na race zetu kuwa we can!
Haya niliyajua mapema. Natambua kuwa nilishaubeba msalaba huu, nitaendelea kuubeba kwa niaba yenu. Mbona mara ya kwanza walinikamata harakaharaka? Mbona Utamu wanamwacha? Au kwakuwa ana udugu na kiongozi wa juu ndani ya Chama tawala?
Wana JF, nitabeba msalaba huu kwa niaba yenu. Nipo tayari! I will never disclose anyone and after all, I know none. I know your JF nicks and do not know who exactly are you! You can't compare JF with Utamu. Muhimu ni watu kuwa makini, wenye dhamira ya kuchafua ndo wameongezeka kadiri siku za uchaguzi zinavyokaribia.
Thanks to God, ndo nimeacha kazi rasmi nilikokuwa nimeajiriwa na kuwa dedicated kwa ajili ya maendeleo ya JF. Once they need me, they know where to find me and how to reach me. I'm not Invisible, am not Mwanakijiji and am not Rev. Kishoka etc, am Maxence.
Sijui ni wapi tunaelekea Tanzania!
Hakuna hata chembe ya ukweli.
Serikali haiwezi ku-shut down ITV kwa reasons ulizoziweka hapo juu, hazina uzito wowote whatosever.
Labda hii habari ni ya kuchangamsha genge!
Game, route aliyochukua Mengi inaweza kum cost kama asipopata support ya wazalendo, kwasababu uelewa wa wabongo nao una extent yake. Inanikumbushia ile stori ya kelele za mbwa mwitu zilizopuuziwa kwasababu kila mara waliojitolea kuja kumrescue mpiga kelele hawakumwona mbwa mwitu,tusipomwona mbwa mwitu,Mengi will suffer,hope kuna wazalendo tosha wa kuamua kumpa support kwani utumwa umetulemaza na hatuoni ni kwa vipi na sisi na rangi zetu na race zetu kuwa we can!
Mzee Kiko.... pamoja na hilo kasema pia watu wasivunje sheria kwa kusingizia kuwataja wahalifu. Uliisikia hii? ilikuwa ikimgusa mzee Mengi moja kwa moja, JK kwa kuchanganya mdomo hatumwezi!
Mie inaniboa sana,tangu juzi naangalia taarifa ya habari ITV,sioni tena coverage ya Busanda,au ndio tayari mikwara imeshaanza kuelekea kufungiwa?Nwy mie sisemi kuhusu kufungiwa kwake au kutofungiwa bt nataka kujua kwanini siku hizi mbili ,tatu ITV haijarusha hewani kampeni za Busanda kwenye habari zake wananchi walitegemea ITV itakuwa wakwanza kuweka hali halisi ya kampeni Busanda na kuonyesha kila chama na ndio hivyo walivyoanza lakini baada ya helcopta ya Chadema kuwasili mjini hapa ndipo na hao ITV wakaacha kurusha habari za Busanda..
Kingine ni hichi cha Star Tv yani wao wanachoonyesha ni kampeni za CCM tu yani mimi kama mimi cjawahi kuona wakikielezea chama kingine cha siasa hapa Busanda zaidi ya CCM mmh tuangalie haya mamabo maana ndo yanaiua CCM maana wanainchi wa sasa wanareson mno
Mkuu,tupo pamoja, hii Nchi ni yetu sote,hakuna mwenye haki zaidi ya wengine,imefika muda wa miti na mawe kuongea pia.Ni wakati wa kuwa na Vingozi na sio watawala kama wao wanavyotaka iwe.Haya niliyajua mapema. Natambua kuwa nilishaubeba msalaba huu, nitaendelea kuubeba kwa niaba yenu. Mbona mara ya kwanza walinikamata harakaharaka? Mbona Utamu wanamwacha? Au kwakuwa ana udugu na kiongozi wa juu ndani ya Chama tawala?
Wana JF, nitabeba msalaba huu kwa niaba yenu. Nipo tayari! I will never disclose anyone and after all, I know none. I know your JF nicks and do not know who exactly are you! You can't compare JF with Utamu. Muhimu ni watu kuwa makini, wenye dhamira ya kuchafua ndo wameongezeka kadiri siku za uchaguzi zinavyokaribia.
Thanks to God, ndo nimeacha kazi rasmi nilikokuwa nimeajiriwa na kuwa dedicated kwa ajili ya maendeleo ya JF. Once they need me, they know where to find me and how to reach me. I'm not Invisible, am not Mwanakijiji and am not Rev. Kishoka etc, am Maxence.
Sijui ni wapi tunaelekea Tanzania!
MTM na YeboYebo,
Wakuu zangu kwanza ningewaomba mnisikie..
Unajua siku zote tujaribu kufikiria nje ya sanduku na mapenzi yetu kwa sababu huwezi kunambia hata mtu mmoja ambaye anafaa kuwa rais hasa nchi zetu za kimaskini..Huyo marehemu Mwl JK. Nyerere alipoingia TAA hakuna aliyedhani anaweza kupata Umaarufu huo, Mwinyi na Mkapa wote hawa walikuwa watu wa kawaida kabisa na naweza kusema hawakuwa wanasiasa basi tu zari iliwatokea.