Mkandara kosa alilofanya Mengi liko kwenye barua aliyoandikiwa na TCRA, kutokana na hiyo barua Mengi ameviolate kipengele cha 22. Swali la kujiuliza ni kwa nini Mengi alipewa airtime na ITV ? Kwa sababu naisikia kilikuwa ni kipindi maalum ndani ya ITV na kilirushwa mara mbili...please correct if a'm wrong.
Swali lingine la kujiuliza jee mimi Rufiji leo nikitaka kipindi maalum ndani ya ITV,niko tayari kulipia, ili niweze kusema ya kuwa Mkandara na JK ni mafisadi (mfano), je ITV watanipa muda
. Jibu hapa ni Rahisi awatafanya hivyo. Kwa hiyo ITV hiko liable kwani wameruhusu TV yako kutumika katika kumshambulia mtu mwingine.

Swali dogo bwana/bi Rufiji, Je Rostam alichofanya TBC, TBC nao wana makosa kama ya ITV au????
Sheria ni msumeno, kama TBC walifanya alichofanya Mengi nao wana kila sababu ya kutandikwa barua ...that is what we call oversight.
Rufiji,kama TBC walifanya alichofanya Mengi nao wana kila sababu ya kutandikwa barua ...that is what we call oversight.
Mtoto wa kuumeni kuwa mpole punguza taharuki, si wewe uliyesema hoja inajibiwa kwa hoja kwenye post yako hapo juu au?? sasa mbona unaleta mambo ya akina khadija kopa??? Mipasho kwa kwenda mbeleee, i wish mods wangeanzisha kundi la taarabu hapa nafikiri tungekuwa na waimbaji wazuri sana.. hahaha
Nimeambiwa na Mengi
Uliza swali jingine.

Mkuu Pundamilia, kwanza naomba nitambue uhuru wako wa kikatiba wa kutoa maoni. Pili naomba niungane na Kapinga, Mzee MM na wengine juu ya yale waliyochangia. Pia nami nikuulize hapa:
- Unauhakika gani kuwa Mengi ndiye anayezifikisha docs hapa JF?Kama ni Mengi then ni Mengi pia kakwambia kuwa hawaamini maAdvocates wake?Asingewaamini angewapa hiyo kazi?
[*]Unaona Ubaya gani kwa Watanzania kupata info kama hizo za kwenye barua za Sakata la M na TCRA humu mtandaoni?Do u have good intentions na JF au nawe ni walewale mamluki tu?
Kuhusu Mengi kutaka kuonewa huruma na Wananchi, kwa mtizamo wangu, sidhani kama biashara za Mengi na mambo yake mengine yanahitaji huruma ya Watanzania ili kufanikiwa. Ila hayo ya Mafisadi kwa sasa yatahitaji huruma ya Wananchi, kama ambavyo tumekuwa na huruma hata wakaendelea kutunyanyasa na kutunyonya ndani ya ThiThiEm.
Let it be so said
Huna hoja!Nimeambiwa na Mengi
Uliza swali jingine.