ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa

Mkemea rushwa mtizame usoni
 
Leo magwanda mnamuona Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.

Alitoa msaada gani ? Ni lini chama kilikuwa ICU ? tufahamishe huenda wengine tulikuwa nje ya nchi wakati haya yanatokea. Kwa kumbukumbu zangu Lipumba aliwahi kudai 2010 alimsaidia JK alipokuwa ICU kwenye uchaguzi wa Rais.
 
mkiwa na Rais mjinga na nchi nayo inakwenda kijingajinga hivyo hivyo.Rais huyu ni muhuni na ameleta aibu kubwa sana kwa TAIFA .huyu Rais sio size yetu ni size ya Bongo flava wenzake kama akina Diamond.
 
Leo magwanda mnamuona Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
Nilitaka kushangaa kikwete atajwe wewe bibi usitoke chimboni!
JK alituaminisha hatuna chetu,Magu naona hajamwamini!
Hapo ndipo unabaki njia panda,ukomae na udini au chama!
 
Leo magwanda mnamuona Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
Hayo ni Maneno ya Muislam kweli?
 
Utakuwa mtu wa ajabu ukimzarau Lipumba kwa kauli yake hii then umshangilie Lowassa au Sumaye ambao walishiriki kwa hali na mali wakipokua ndani ya chama kilichotufikisha hapa, chama cha mafisadi ccm.
 
Back
Top Bottom