ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Kikwete, Mkapa, Simba trust, ni wanyonge??

Kwa hiyo unamaana watu wote walale wamwachie magu afanye kazi za uongozi peke yake? Nini hatima yake?

Fahamu kwamba hakuna mtu malaika wala wakamilifu. WAtu hukamilika kwa kuthamini na kukubali michango mizuri kutoka kwa wengine. Michongo hiyo inapochukuliwa na kuwekwa pamoja na kisha kuchambuliwa na kuratibiwa, huimarisha ufanisi na huongeza ubora wa uongozi wa mtu.

Hakuna mtu mmoja atafanay kila kitu kwa kutumia kichwa chake peke yake, afae kuwa kiongozi wa watu wengi.

Na wewe na watu wa ina yako mnapashwa kulijua hilo. Tunahitaji raisi atumie elimu, stadi, na vipaji vizuri vya watu mbalilmbalil katika nchi ili kuboresha mafanikio ya uongozi wake kwa maslahi ya taifa.

Hapo hapo, magu siyo Mungu, wala si malaika. Anaujasiri na kuna uzuri fulani katika ubabe wake lakini kuna hatari kubwa katika ku marginalize professionalism, ku provoke maumivu ya watu, ku ignore feelings za watu, ku undermine umuhimu wa mihimili mingine na kuimiliki. Aidha magu anatatizo katika maamuzi na ni kwa sababu ya uwezo wa ku control emotions ambao unatindika. Kwa mantiki hiyo ni kwamba ili afanye vizuri zaidi, anahitaji kuchangaya uwezo wake mzuri na uwezo wa watu wengine ili pia kuziba mapengo ya udhairfu wake na pia kuongeza kazi ya mafanikio.

Kwa walisome leadership wananielewa.

Mchana mwema.

Magu kaletwa na Mungu kuleta usawa na kutetea wanyonge
 
Issue haibaki tu kuwa hoja bali hoja imeletwa na nani?!
Au kwa kutumia ujinga wa watanzania tuamini kila kinachosemwa na wanajifanya wasomi?!
Rais tuliyenaye anafahamu haya na ana washauri weledi wanajua jinsi ya kushulikia haya na siyo hizi kelele za huyu msomi mpiga mbinja.

Hata hivyo naungana na watanzania wote wenye mioyo ya kizalendo na wenye uchungu na rasilimali za taifa hili.

BAsi huo ni upumbavue!

Wewe akikuambia usinywe maji ya mtoni karibu na kiwanda kwa kuwa huwa kiwanga kinamwaga maji ya sumu, wewe utakwenda kuyanywa wakti hata wewe unaona kuna ukwlei, eti kwa kuwa kakuambia Lipumba!. BAsi utakuw ampumbavue wahead!
 
Leo magwanda mnamuona Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
Bado una msimamo huu?
 
Alishaishiwa Pesa za Kuendesha Serikali? Nani alitandaza Barabara Tanzania Kila Mahali? Na bado ulishamsikia akijitapa? Viongozi Wa mataifa Makubwa walikuwa wakipigana Vikumbo Kuja Tanzania kwa Kumheshimu Kikwete!
JK angeweza kusimama imara leo tungekuwa mbali sana. Wale marafiki zake walafi wakagawana Tanzania na rasilimali zake kama watanzania hawawaoni. Wakawa madalali halali wa utandawazi. Ndio wanaolialia hovyo baada ya mambo kubadilika
 
Hii inaleta picha fulani kuwa JPM aliamua kumleta mmoja wao kwenye cabinet yake ili ampate na kumuonyesha mengi bila yeye kujijua. Ilipofika muda wake wa kutemwa akamtema kwa njia hiyo aliyomtema.

Sasa hao wanaopiga kelele kuwa wao ndio wameongea tangu, kumbe kuna wengine wengi walipigania ya wanyonge.

Naanza kujifunza mengi juu ya JPM ni level ingine Raisi wetu, sijutii kupenda kumfatilia yake hadi peo nimependa kujia mengi ya serikali, siasa etc
Nilianza tangu akiwa Waziri nilipoona ile alienda kukagua harabara akampigia mmoja aliyemjibu yupo pale alipo.... ha ha haaa na JPM ndio alikuwa pale. Akicheka nawe haimaanishi upo salama kwake bali ni ile ya "keep your ... closer"

Hotuba yake ya leo akiwa Kibaha wengi hawalali vizuri usiku huu

Tumsapoti na kumpa thumbs up, atatufikisha na movie zitazidi kuwa nyingi tu. Tuzidi kumuombea

Magufuli 2020


Magufuli oyeeeeeee
Nakubaliana na wewe huu ndio mtego aliotegewa Makonda, Makonda hamjui vizuri Magufuli.
 
JPM kakupoteza kabisa bibi kwisha habari yako hahahaha rudi kafute maujinga yako ona sasa unaumbuka

Wewe na Mpuuzi wako Mkuu wa Political stunts ndio mtaumbuka! Magufuli ni Mwizi, Aliiba 2.7 Bill. hazina na Kuhonga nazo Wabunge wote wa CCM, Zile hazikuwa za Mama yake au za biashara ya Sangara! Halafu anathubutu Kusimama Mbele ya TV na Kusema Anachukia Wezi. Vipi zile nyumba za Serikali alizouzia Ndugu zake kwa Bei ya Maandazi?

Ukipigana Vita ya Rushwa na Wewe Uwe Msafi, Vipi wako Wapi Chiluba na Samwel Doe!
 
Lipumba Anatumwa na Magufuli , Magufuli anataka Kumwandama Kikwete lakini anaogopa Kwenda Kichwa akichwa, Kwa hiyo anamtuma Stooge wake Lipumba, Kama alivyomtuma Makonda Bashite amtuhumu Ridhiwani Kikwete! Unajua hofu yake nyingine iko wapi? Benard Membe! Kwani anahisi Benard anaweza kugombea Urais Nje ya CCM! Kwa baraka za Kikwete!
Mkuu naona umedandia gari kwa mbele,pumzika kunywa maji halafu rudi kasome vizuri hiyo Thread ya Lipumba kuongea LIVE na ITV ilikuwa lini, kitu cha 2014 sasa wewe leo unasema Magufuli anamtumia kumuandama kikwete,
Wakati huo JPM hata wazo la magogoni hakuwa nalo!
 
Back
Top Bottom