ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Hii inaleta picha fulani kuwa JPM aliamua kumleta mmoja wao kwenye cabinet yake ili ampate na kumuonyesha mengi bila yeye kujijua. Ilipofika muda wake wa kutemwa akamtema kwa njia hiyo aliyomtema.

Sasa hao wanaopiga kelele kuwa wao ndio wameongea tangu, kumbe kuna wengine wengi walipigania ya wanyonge.

Naanza kujifunza mengi juu ya JPM ni level ingine Raisi wetu, sijutii kupenda kumfatilia yake hadi peo nimependa kujia mengi ya serikali, siasa etc
Nilianza tangu akiwa Waziri nilipoona ile alienda kukagua harabara akampigia mmoja aliyemjibu yupo pale alipo.... ha ha haaa na JPM ndio alikuwa pale. Akicheka nawe haimaanishi upo salama kwake bali ni ile ya "keep your ... closer"

Hotuba yake ya leo akiwa Kibaha wengi hawalali vizuri usiku huu

Tumsapoti na kumpa thumbs up, atatufikisha na movie zitazidi kuwa nyingi tu. Tuzidi kumuombea

Magufuli 2020

Magufuli oyeeeeeee
 
MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa

Lipumba Anatumwa na Magufuli , Magufuli anataka Kumwandama Kikwete lakini anaogopa Kwenda Kichwa akichwa, Kwa hiyo anamtuma Stooge wake Lipumba, Kama alivyomtuma Makonda Bashite amtuhumu Ridhiwani Kikwete! Unajua hofu yake nyingine iko wapi? Benard Membe! Kwani anahisi Benard anaweza kugombea Urais Nje ya CCM! Kwa baraka za Kikwete!
 
PAMOJA NA UJINGA WALIOFANYA NA MKAPA AU NISEME MAKOSA MAKUBWA SANA WALIYOFANYA 2015 YEYE NA MKAPA, KUMBEBA MBELEKO HUYU AMBAYE SASA NI BAD NEWS! BADO NAAMINI KIKWETE ALIKUWA RAIS POA SANA NA MWENYE UWEZO WA KUSIMAMIA UCHUMI! NA MUUNGWANA KAMA MWINYI!
 
JK made a total damage. He was not able to control anybody
 
Alishaishiwa Pesa za Kuendesha Serikali? Nani alitandaza Barabara Tanzania Kila Mahali? Na bado ulishamsikia akijitapa? Viongozi Wa mataifa Makubwa walikuwa wakipigana Vikumbo Kuja Tanzania kwa Kumheshimu Kikwete!
 
Shida yako shida yangu. Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Tulikuwa na shida ya umeme na hawahawa mnaosema leo hii ni wezi ndiyo waliokuja kuwekeza wakati tuna shida.

Huyo Sethi ni mwekezaji kutokea Iringa, kama hakuwekeza Tanzania atawekeza kwingine, hakuanza leo, toka enzi za Nyerere wazee wake walikuwa na kampuni Iringa ya ukandarasi ikiitwa Ruaha Concrete Company RCC.

Ni mtu wa kawaida sana wala kilemba na ndev zake sisikutishe hiyo ni imani yake. Na hana wizi huyu, ni mfanya biashara, alikuta urithi wa wazee wake kauendeleza sasa umekuwa wa Kimataifa, ni faraja kubwa sana kwa Tanzania kwa kijana mfanya biashara kutokea Iringa kuikuza biashara na kuwa wa Kimataifa. Inabidi tujivunie. Na kampuni yake imeinunuwa Mechmar na VIP kwa makubaliano maalum na wamewalipa.

Nilidhani Watanzania tungejivunia kuwa kijana wetu wa Kitanzania kaweza kujitutumuwa, kutumia akili, kukopa, kuhangaika na kuweza kuinunuwa hiyo mitambo ambayo tulishindwa kama taifa kuinunuwa wenyewe wakati wa shida.

Kainunuwa, katutowa kwenye janaga la kuwa mitambo ya watu wa nje, kaahidi kuwa anaibadilisha kuifanya ya gas mwaka huu huu unaokuja kesho kutwa 2015 na kuufanya umemem ushuke hadi kufikia senti 8. tena si kwa maneno kwa maandishi na miakataba amabapo hakuna kampuni nyingine yeyeote iliyowahi kufanya hivyo hadi hii leo.

Leo anakuja mtu kuwajaza ujinga kuwa huyu ni mwizi na wewe bila kufikiri hata chembe unakubali tu.

Sethi alikuibia nini wewe?

Ile mitambo pale Tegeta ni yako? uliinunuwa wewe? au iliinunuwa Serikali yako?

Huyu Sethi ni wakusaidiwa, huyu si wa kusakamwa, katutoa kwenye shimo kwa kuinunuwa hiyo mitambo kutoka kwa wawekezaji ambao hawana uchungu na hii nchi hata chembe na kakubali kushusha bei ya umeme na kakuballi kubeba madeni yote yatakayojitokeza.

Huyu ni mzalendo huyu, huyu ni wa kubebwa na kuenziwa na kupewa kila msaada anaouhitaji si wakunyanyaswa hata kidogo.

Dhambi ya Sethi ni nini?
Hili bandiko ulilifanyia editing kweli?
 
Kila kikicha LIPUMBA anakuwa mwepesi wa siasa. Haya maneno ya dalali, mara usanii yamekuwa yakitumiwa sana kwenye sakata la ESCROW kutaka kumsafisha REGINALD MENGI kuwa dalali wa vitalu. LIPUMBA naye anaondoka nayo kama yalivyo.
Njoo ufute pumba yako hii
 
Lipumba Anatumwa na Magufuli , Magufuli anataka Kumwandama Kikwete lakini anaogopa Kwenda Kichwa akichwa, Kwa hiyo anamtuma Stooge wake Lipumba, Kama alivyomtuma Makonda Bashite amtuhumu Ridhiwani Kikwete! Unajua hofu yake nyingine iko wapi? Benard Membe! Kwani anahisi Benard anaweza kugombea Urais Nje ya CCM! Kwa baraka za Kikwete!

Umesoma lakini thread ya lini? Au umechangia uonekane nawe mchangiaji?
 
Shida yako shida yangu. Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Tulikuwa na shida ya umeme na hawahawa mnaosema leo hii ni wezi ndiyo waliokuja kuwekeza wakati tuna shida.

Huyo Sethi ni mwekezaji kutokea Iringa, kama hakuwekeza Tanzania atawekeza kwingine, hakuanza leo, toka enzi za Nyerere wazee wake walikuwa na kampuni Iringa ya ukandarasi ikiitwa Ruaha Concrete Company RCC.

Ni mtu wa kawaida sana wala kilemba na ndev zake sisikutishe hiyo ni imani yake. Na hana wizi huyu, ni mfanya biashara, alikuta urithi wa wazee wake kauendeleza sasa umekuwa wa Kimataifa, ni faraja kubwa sana kwa Tanzania kwa kijana mfanya biashara kutokea Iringa kuikuza biashara na kuwa wa Kimataifa. Inabidi tujivunie. Na kampuni yake imeinunuwa Mechmar na VIP kwa makubaliano maalum na wamewalipa.

Nilidhani Watanzania tungejivunia kuwa kijana wetu wa Kitanzania kaweza kujitutumuwa, kutumia akili, kukopa, kuhangaika na kuweza kuinunuwa hiyo mitambo ambayo tulishindwa kama taifa kuinunuwa wenyewe wakati wa shida.

Kainunuwa, katutowa kwenye janaga la kuwa mitambo ya watu wa nje, kaahidi kuwa anaibadilisha kuifanya ya gas mwaka huu huu unaokuja kesho kutwa 2015 na kuufanya umemem ushuke hadi kufikia senti 8. tena si kwa maneno kwa maandishi na miakataba amabapo hakuna kampuni nyingine yeyeote iliyowahi kufanya hivyo hadi hii leo.

Leo anakuja mtu kuwajaza ujinga kuwa huyu ni mwizi na wewe bila kufikiri hata chembe unakubali tu.

Sethi alikuibia nini wewe?

Ile mitambo pale Tegeta ni yako? uliinunuwa wewe? au iliinunuwa Serikali yako?

Huyu Sethi ni wakusaidiwa, huyu si wa kusakamwa, katutoa kwenye shimo kwa kuinunuwa hiyo mitambo kutoka kwa wawekezaji ambao hawana uchungu na hii nchi hata chembe na kakubali kushusha bei ya umeme na kakuballi kubeba madeni yote yatakayojitokeza.

Huyu ni mzalendo huyu, huyu ni wa kubebwa na kuenziwa na kupewa kila msaada anaouhitaji si wakunyanyaswa hata kidogo.

Dhambi ya Sethi ni nini?

JPM kakupoteza kabisa bibi kwisha habari yako hahahaha rudi kafute maujinga yako ona sasa unaumbuka
 
MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa
Sasa hivi hawezi tena kuyasema haya maneno
 
Anachokifanya JPM ni sahihi nchi iliharibiwa na watu wachache. Lazima wavune walichopanda, JPM sisi tunakuombea ulinzi kwa Mungu uwashughulikie kweli kweli na mali zote zirudi sserikalini na majizi yote yafungwe iwe fundisho
 
amesema rais ni fully msanii...nchi hii hatuna rais tuna mbongo flavor hata wenzetu wanatushangaaa....
Kwa akili ya kawaida kuna msanii zaida ya Lipumba?!
Nani anao muda wa kupoteza kumfuatilia msomi asiye na dira hata haelewi ashughulikie vipi mgogoro ndani ya chama chake
Halafu eti anaweza kuwa dira ya utawala bara?!
Yeye akaungane na kina Harmorapa wazee wa kiki maana hapo kashaona umaarufu kwishney
 
huyu mseja naye tumemchoka

Watu kama wewe hamkupaswa kuwa kwenye jukwaa la great thinkers!. Nenda FB ukishaangalia maonyesho, kalale.

Great thinkers wanaangalia uzito na umhimu wa hoja. Baada ya kutafakari huchallenge ama kuboresha ama kuunga mkon kwa hoja, siyo kujaza thread tu kama wewe hapa.

Akili zinazo shapua hoja kwa kuangalia mtu ni za ndungai na watu wasioona mbali wala hawana uchungu na taifa.

Wewe hapa ummemchoka lipumba kwa lipi? Kwa kusema laiowataja ni wahujumu uchumi? Eleza ullichochoka hapa ni kpi hasa?

Mtu akisema jema aungwe mkono na asiungwe mkono kila siku, kila jambo kwa sababu kuna siku alisema jema.

Mtu akifanya baya apingwe kwa nguvu zote katila llle baya na asinpingwe kwa kila siku na kwa kila jambo hata lenye manufaa kwa kuwa kuna siku alifanya baya.

Wewe na watu wanaofanya hayo ambao wengi ni ccm, jifunzni kuchambua hoja na sikuchambua midomo!
 
YouTube magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau.

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
Dada Lipumba mwenyewe ni wa ajabu sana, kuna video inamuonesha akiwa msikitini akiwaponda CHADEMA, leo anajifanya kuungana nao, ngoja wwmtumie kama karai la zege, mwisho wake atatupwa tu.
Angalia hii video:[/QUOTE]
Nina wasiwasi na jinsi ambavyo watanzania wanavyoyachukulia mambo.Ila ok humu hata wajinga wanajifanya wasomi,wachambuzi na wahariri sio tatizo. Ila ukweli utabaki kuwa sio chadema,sio Kipumba hawana jipya kwani ukitaka habari nyepesinyepesi zisizo ukweli utazipata kwa hawa jamaa
My take wamwache raisi wetu afanye kazi ana mambo mengi ya kushughulikia kwani sio hizi habari za mtaa!!!!!!
 
Kwa akili ya kawaida kuna msanii zaida ya Lipumba?!
Nani anao muda wa kupoteza kumfuatilia msomi asiye na dira hata haelewi ashughulikie vipi mgogoro ndani ya chama chake
Halafu eti anaweza kuwa dira ya utawala bara?!
Yeye akaungane na kina Harmorapa wazee wa kiki maana hapo kashaona umaarufu kwishney

Ongelea hoja aliyoileta hapa na si kumwongelea yeye. Ukianza kuongelea watu utakuwa katika kundi la chini sana.

Chukua hoja ama ikatae hoja kwa kuwa hoja haitaandamana na matatizo ama uzuri wa Lipumba. Lipumba ana matatizo mengi na hayo tunayapinga kwa umoja wetu na nguvu zetu zote.

Je anapotoa mchango wa maana, wenye manufaa tuukatae kwa kuwa amesema Lipumba? Ndugu zangu tutakuwa kama ccm ambao hukataa hoja kwa kuw atu haijasemwa na ccm. Ndungai et al.
 
Issue haibaki tu kuwa hoja bali hoja imeletwa na nani?!
Au kwa kutumia ujinga wa watanzania tuamini kila kinachosemwa na wanajifanya wasomi?!
Rais tuliyenaye anafahamu haya na ana washauri weledi wanajua jinsi ya kushulikia haya na siyo hizi kelele za huyu msomi mpiga mbinja.

Hata hivyo naungana na watanzania wote wenye mioyo ya kizalendo na wenye uchungu na rasilimali za taifa hili.
 
Back
Top Bottom