ITV: Kipima Joto wamegwaya

ITV: Kipima Joto wamegwaya

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Leo hawakutoa takwimu kuhusiana na swali walilouliza ikiwa Lowassa kuhamia UKAWA kutabadili siasa za Tanzania.

Wameishia kusoma meseji sita kwa uwiano wa 3:3 bila kutusomea asilimia kama siku zote.

Wajue tu kuwa ni maoni ya wananchi na si ya kituo. Hawakupaswa kuhofia
 
Aisee hata Mimi nimejiuliza takwimu Leo zimekimbilia wapi,watu Wa N,H na S hawakuonyeshwa kabisa..
 
IPP yote ITV, EATV na magazeti yao wamenunuliwa na Lowasa tayari kwa ajili ya kumsafisha sasa itabidi kituo hiki kifungiwe kabisa.
 
Shiiida hasafishiki, Watanzania tufunguke. Chadema kumbe nao mchezo uleule, wakipewa nchi afadhali zimwi likujualo. Maoni ya upinzani hawezi kusema
 
ITV inamuunga mkono Lowasa, maana kaonewa
 
MATKEO ni leo kama Dodoma umesahau kuwa kura zilipopigwa wakadai ni usiki hivyo matokeo yatatangazwa kesho sasa leo mnahoji nini wakati kumeanzishwa utaratibu mpya wa kutahgaza matokeo huyo naye>>><<<<<<<><><><
 
swali leo ni jipya kabisa. na wametoa takwimu. wala halihusiani na siasa. ni wazi walikwepa jana
 
Leo hawakutoa takwimu kuhusiana na swali walilouliza ikiwa Lowassa kuhamia UKAWA kutabadili siasa za Tanzania.

Wameishia kusoma meseji sita kwa uwiano wa 3:3 bila kutusomea asilimia kama siku zote.

Wajue tu kuwa ni maoni ya wananchi na si ya kituo. Hawakupaswa kuhofia

Percentage ilikuwa haifanani na matakwa ya Kaskazi.
 
Back
Top Bottom