ITV: Kipima Joto wamegwaya

ITV: Kipima Joto wamegwaya

Matbccm na clousccm hamzioni.du kuna watu manunda
 
Leo hawakutoa takwimu kuhusiana na swali walilouliza ikiwa Lowassa kuhamia UKAWA kutabadili siasa za Tanzania.

Wameishia kusoma meseji sita kwa uwiano wa 3:3 bila kutusomea asilimia kama siku zote.

Wajue tu kuwa ni maoni ya wananchi na si ya kituo. Hawakupaswa kuhofia

unataka kutuambia wameanza kuwa kama tbccm?
 
Back
Top Bottom