Mungu wangu.Nimeangalia hiyo link ya TBC hapo looool...ina maana hata huyo mtangazaji aibu haoni?..Habari ziko waaazi na zinaoneshwa lakini yeye hazisomi ....jamani tunaelekea wapi?.....hao TCRA wako wapi?au TBC wana impunity?...yaani anasoma habari za CCM tu na mbaya zaidi anasema ndizo zilizopewa kipaumbele cha juu!!!....kwenye majira kasoma hiyo habari ya chini hapo ya CCM........kwenye Nipashe hiyo pg ya kwanza hajasoma kasoma pg2/3 afu anarudia hivohivo bila aibu kuwa ndizo habari zilizopewa kipaumbele katika hayo magazeti?!!!? TCRA mpo wapi?Watch "TBC ikidanganya LIVE leo tarehe 15.08.2015" on YouTube - https://youtu.be/6YKRs2dTgZw
Mbona TBC wao hawaogopi?
Wamezuiwa kabisa na mamlaka ya juu kusoma habari za wapinzani. Hii ndiyi Tanzania.
Itv nao wamekuwa wapuuzi tu.
Any way whatsapp, facebook, instagram, twitta , jf sms, calls n.k
Vitatumika kuikomboa Tanzania
Nashangaa...hata chanel ten hawajatangaza kabisa...
Tulio Humu Ndani ni Wachache Sana Ukilinganisha na Waliovijijini... Tusipige KeleLe Humu tu Tukajiona ni Washindi ni lazima Tuwafikie Wale Wasio na Simu, tv wala Redioni Ili Watambue Mapambano Yetu... Bila Hivyo ni Sawa na Moto Wa Mabua Kama Alivyosema Mkulu
Mtaisoma namba , nyie msioijua CCM.
Na hizo ni rasha rasha tu, juzi ITV sembuse waingie mtego mnaouuwekea na wakaomba radhi chap chap baada ya kujua wanakosa weledi kwa kushabikia siasa za UKAWA.